chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 13,277
- 40,924
Wivu tu wakukerereketa ulitaka waitukuze Harambee?Nyerere na Tanzania wanaingilia wapi kuhusu Kwanzaa holiday? Wajinga sana nyie.
Sasa Harambe imetoka wapi.. ameuliza Kwanza na nyerere wapi na wapi? Wajinga nyieWivu tu wakukerereketa ulitaka waitukuze Harambee?
Hayo maneno yote( kwanza, umoja, ujima, ujamaa, kujichagulia,Nia nk asili yake Katika Dunia Hii yalianza kutumika Tanzania kabla ya sehemu yoyote ile Dunia Hii
Wakati wengine wakijifanya wazungu weusi Tanzania ilikuwa inatengeneza lugha ya kiafrika inayoitwa kiswahili
Ujima, ujamaa, umoja, kujitegemea, vyote hivi asili yake ni Nyerere na Tanzania, Kenya hamtaki kusikia neno "Ujamaa, umoja na Ujima.Nyerere na Tanzania wanaingilia wapi kuhusu Kwanzaa holiday? Wajinga sana nyie.
Sikujua kwamba ujima ni neno la kiswahili. Anyway kama Nyerere kahusika basi hongereni.Ujima, ujamaa, umoja, kujitegemea, vyote hivi asili yake ni Nyerere na Tanzania, Kenya hamtaki kusikia neno "Ujamaa, umoja na Ujima.
Sio kweli unayosema, Kiswahili ni lugha Kama lugha zingine ambazo zimekopa(kutohoa) maneno toka lugha zingine na maneno mengine yanazaliwa na kufa.Nyerere alikua na nia njema wakati anaanzisha ujamaa kwa Watanzania, ila labda hakueleweka au hata mwenyewe hakuuelewa vizuri huo mfumo kabla kuupapatikia, ukasababisha kama taifa watu wazembee na kukwamishana kwa kutegemeana na kuwa maskini mpaka leo hii hawajatoka....mataifa aliyoiga kutoka kwao wako vizuri kiuchumi, ila na wao waliutelekeza, hata China waliashapokea ubepari kitambo.
Halafu Nyerere hakubuni Kiswahili, kilikuwepo hata kabla hajazaliwa, tumshukuru Mwarabu na jamii zetu za Pwani maana hao ndio walihusika kwenye kukibuni.
Sema Nyerere alifanya vizuri kukifanya lugha rasmi ya Tanzania, ila nao Watanzania wakaganda bila kujiongeza wakabaki wamekwama kwenye lugha moja hiyo, wengine wakatelekeza hata lugha zao za asili, unakuta mbaba kabisa mtu mzima hajui hata salamu kwa lugha yake ya asili, huo ni utumwa.
Hii "Kwanzaa" ndio leo naiskia, naona ilianzishwa na Mmarekani mweusi kwao huko kama mbadala wa Krisimasi kwa Mwafrika.......
Nyerere ndio chimbuko la Kwanzaa kwa kila kitu, aheshimikeNyerere na Tanzania wanaingilia wapi kuhusu Kwanzaa holiday? Wajinga sana nyie.
Ujima ni msamiati wa Kiswahili, jifunzeni mtaelewa.Sikujua kwamba ujima ni neno la kiswahili. Anyway kama Nyerere kahusika basi hongereni.
Sasa Harambe imetoka wapi.. ameuliza Kwanza na nyerere wapi na wapi? Wajinga nyie
Kwani nyie mlivyoiga ubepari mmetoka kwenye lindi la umaskini kama mabepari wenzenu?Nyerere alikua na nia njema wakati anaanzisha ujamaa kwa Watanzania, ila labda hakueleweka au hata mwenyewe hakuuelewa vizuri huo mfumo kabla kuupapatikia, ukasababisha kama taifa watu wazembee na kukwamishana kwa kutegemeana na kuwa maskini mpaka leo hii hawajatoka....mataifa aliyoiga kutoka kwao wako vizuri kiuchumi, ila na wao waliutelekeza, hata China waliashapokea ubepari kitambo.
Halafu Nyerere hakubuni Kiswahili, kilikuwepo hata kabla hajazaliwa, tumshukuru Mwarabu na jamii zetu za Pwani maana hao ndio walihusika kwenye kukibuni.
Sema Nyerere alifanya vizuri kukifanya lugha rasmi ya Tanzania, ila nao Watanzania wakaganda bila kujiongeza wakabaki wamekwama kwenye lugha moja hiyo, wengine wakatelekeza hata lugha zao za asili, unakuta mbaba kabisa mtu mzima hajui hata salamu kwa lugha yake ya asili, huo ni utumwa.
Hii "Kwanzaa" ndio leo naiskia, naona ilianzishwa na Mmarekani mweusi kwao huko kama mbadala wa Krisimasi kwa Mwafrika.......
We acha kuongea pumba mbele ya watu na akili zao bana, utaumbuka bureUmecheka sababu hujui unachocheka au Umeamua kuanzisha ligi ya ubishi
Kwani nyie mlivyoiga ubepari mmetoka kwenye lindi la umaskini kama mabepari wenzenu?
Eti tumshukuru mwarabu!!!Nyerere alikua na nia njema wakati anaanzisha ujamaa kwa Watanzania, ila labda hakueleweka au hata mwenyewe hakuuelewa vizuri huo mfumo kabla kuupapatikia, ukasababisha kama taifa watu wazembee na kukwamishana kwa kutegemeana na kuwa maskini mpaka leo hii hawajatoka....mataifa aliyoiga kutoka kwao wako vizuri kiuchumi, ila na wao waliutelekeza, hata China waliashapokea ubepari kitambo.
Halafu Nyerere hakubuni Kiswahili, kilikuwepo hata kabla hajazaliwa, tumshukuru Mwarabu na jamii zetu za Pwani maana hao ndio walihusika kwenye kukibuni.
Sema Nyerere alifanya vizuri kukifanya lugha rasmi ya Tanzania, ila nao Watanzania wakaganda bila kujiongeza wakabaki wamekwama kwenye lugha moja hiyo, wengine wakatelekeza hata lugha zao za asili, unakuta mbaba kabisa mtu mzima hajui hata salamu kwa lugha yake ya asili, huo ni utumwa.
Hii "Kwanzaa" ndio leo naiskia, naona ilianzishwa na Mmarekani mweusi kwao huko kama mbadala wa Krisimasi kwa Mwafrika.......
Eti tumshukuru mwarabu!!!
Kwa sasa kuna maradhi makubwa sana ya watu kukosa kufikiri sawasawa! Tena ni maradhi yasiyo na dawa!
Tumshukuru mwarabu? Mtu mzima anajiona kaongea jambo la maana hapo!