Kreni ya Kujengea Ghorofa Laanguka na Kuua Kenya: Majirani Bora Muache Kujenga Maghorofa

Kreni ya Kujengea Ghorofa Laanguka na Kuua Kenya: Majirani Bora Muache Kujenga Maghorofa

Nilikuambia zamani eliakeem ukishakuwa bendera fata upepo, wa wenzako kwenye jukwaa hili, na chuki zao za ovyo dhidi ya Kenya. Utavurugwa bure ugeuke kuwa kiumbe cha ajabu ajabu kama yule mzee mwingine Geza Ulole.

Ona sasa kwenye mada yako ulivyopuuza 'the human aspect' ya taarifa hizi. Yaani vifo vya binadamu wenzako tisa, ikiwa ni pamoja na wachina. Tena wanaune wapambanaji ambao 'hatia' yao ilikuwa ni kutafutia tu familia zao maisha bora.

Sijui kama unaona sifa kurukia kwenye kutuponda sisi manyang'au, huku ukitupilia utu wako kando? Wakati mradi wenyewe upo chini ya usimamizi wa mkandarasi ZJCC , kampuni ambayo ni ya Uchina, sio Kenya. What a shame!

Yaani lawama hizi nizibebe kwa ajili tu ya kuleta uzi? Kwani mimi ndiye nimeangusha hiyo ngazi? Mimi ni mjumbe tu bro wala huna haja ya kunielewa vibaya.
 
TZ kupata 2% ya watu wenye akili ni ngumu sana.... kwenye site yenyewe wajenziwalikua ZJCC kampuni ya Kichina wala sio kampuni ya Kikenya

Njoo tena, maana ulichoongea ni contradiction.
 
Lingine limeporomoka na limeua watatu leo.
 
Huku kreni limeanguka, mara kule ghorofa linalojengwa, ambalo hata uzito wowote haujaingizwa ndani, zaidi ya uzito wake lenyewe, linaanguka. Rushwa kama mkuu Magonjwa Mtambuka alivyosema ndiyo inayoua watu wasio na hatia.
 




E-W1ttmWEAAc7PA





MY TAKE
Hii imeanza kujengwa mpaka ikafika floor ya sita wakaguzi walikuwa wapi?
 
Now tell me, where are those 58% of unfit buildings of Nairobi???
They are the slums and parts of Eastern Nairobi that is considered to be a slum . They are most certainly not in the the Central Business District, or the western half of the city.
 
Back
Top Bottom