pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilikuambia zamani eliakeem ukishakuwa bendera fata upepo, wa wenzako kwenye jukwaa hili, na chuki zao za ovyo dhidi ya Kenya. Utavurugwa bure ugeuke kuwa kiumbe cha ajabu ajabu kama yule mzee mwingine Geza Ulole.
Ona sasa kwenye mada yako ulivyopuuza 'the human aspect' ya taarifa hizi. Yaani vifo vya binadamu wenzako tisa, ikiwa ni pamoja na wachina. Tena wanaune wapambanaji ambao 'hatia' yao ilikuwa ni kutafutia tu familia zao maisha bora.
Sijui kama unaona sifa kurukia kwenye kutuponda sisi manyang'au, huku ukitupilia utu wako kando? Wakati mradi wenyewe upo chini ya usimamizi wa mkandarasi ZJCC , kampuni ambayo ni ya Uchina, sio Kenya. What a shame!
tatizo la hawa nyangau ni ujanja ujanja wa kipumbavu mwingiUkisikia watu ambao maghorofa yamewakataa ni wakenya.
Yaani haupiti muda, lazima watu wafe kwa mikasa ya majengo marefu.
![]()
MY TAKE
Hii imeanza kujengwa mpaka ikafika floor ya sita wakaguzi walikuwa wapi?
MY TAKE
Na mbona wanasema Kinoo? wanaficha nini? Hili jengo liko Nairobi!
Nataka kazi ya kuzika wanaodondokewa na majengo hupo Nairobi!Ambia serikali ikupee kazi ama nikufinye
They are the slums and parts of Eastern Nairobi that is considered to be a slum . They are most certainly not in the the Central Business District, or the western half of the city.Now tell me, where are those 58% of unfit buildings of Nairobi???