Kreni ya Kujengea Ghorofa Laanguka na Kuua Kenya: Majirani Bora Muache Kujenga Maghorofa


Yaani lawama hizi nizibebe kwa ajili tu ya kuleta uzi? Kwani mimi ndiye nimeangusha hiyo ngazi? Mimi ni mjumbe tu bro wala huna haja ya kunielewa vibaya.
 
TZ kupata 2% ya watu wenye akili ni ngumu sana.... kwenye site yenyewe wajenziwalikua ZJCC kampuni ya Kichina wala sio kampuni ya Kikenya

Njoo tena, maana ulichoongea ni contradiction.
 
Lingine limeporomoka na limeua watatu leo.
 
Huku kreni limeanguka, mara kule ghorofa linalojengwa, ambalo hata uzito wowote haujaingizwa ndani, zaidi ya uzito wake lenyewe, linaanguka. Rushwa kama mkuu Magonjwa Mtambuka alivyosema ndiyo inayoua watu wasio na hatia.
 
Now tell me, where are those 58% of unfit buildings of Nairobi???
They are the slums and parts of Eastern Nairobi that is considered to be a slum . They are most certainly not in the the Central Business District, or the western half of the city.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…