Bongo hakuna wapinzani
Wapo kimya - wakilipiwa madeni na wengine wamekimbia

Hawaongei mahitaji ya wananchi , wanaongea mahitaji yao

Hao wananchi wao wako wapi kujiongelea hayo mahitaji yao, au wanasubiri tu wanasiasa wawaongelee?
 

YOHANA MBATIZAJI!!!! Una ugomvi wowote na zito!?
 
Polisi Kenya wanatumia Risasi za moto kutawanya watu? Raisi wao yuko juu ya katiba kama Tanzania?
 
Mimi sipingani na kuwepo kwa katiba mpya lkn wote tumejionea, swali langu ni kwamba kwa hiyo katiba mpya tunayoitaka ndo inawapa uhuru wakenya ya kuichafua hali ya hewa hivi?

Ndio maana ya kiongozi kutojifanyia anayotaka yeye, leo uwanja wa ndege wa chato upo tu, ujengwe mwingine kizimkazi si unaona hasara hiyo lazima kiongozi ajue wananchi wapo ndio wenye nchi
 
Mimi sipingani na kuwepo kwa katiba mpya lkn wote tumejionea, swali langu ni kwamba kwa hiyo katiba mpya tunayoitaka ndo inawapa uhuru wakenya ya kuichafua hali ya hewa hivi?
Picha au Video ya kutoa support ya maelezo yako ipo wapi?
 
Eti maandamano kila jumatatu kuipinga serikali halali kabisa. Ule ni ujinga usiovumilika.

Ingekuwa TZ basi vyombo vya ulinzi na usalama vingewaonya, "mama mkanye mwanao, akiandamana tusilaumiane". 🫡

Sasa wewe andamana 😅.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…