Aliyekuwa Mbunge Arusha Mjini, Godbless Lema kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa Twitter amesema msafara wa Tundu Lissu umevamiwa katika Ofisi za Chama hicho Wilayani Hai
Amesema "Msafara wa mgombea Urais Mh Tundu Lissu umevamiwa na kushambuliwa vibaya katika ofisi ya CHADEMA HAI,magari yame...
Salaam Wakuu.
Leo Rais Magufuli amekuja hapa Miyuji mjini Dodoma na kutoa Hotuba kwa baraza kuu la kanisa la TAG leo ikiwa ni kilele cha mkutano mkuu wa kanisa ambalo limetimiza miaka 81 tangu kuingia nchini Tanzania.
Kilichonisikitisha ni Kitendo cha Rais wetu kukataa kutumia Kipaza Sauti...
Punde Rais Magufuli atakuwa hapa Miyuji mjini Dodoma na kunatarajiwa kuwa na mazungumzo baina yake na baraza kuu la kanisa la TAG leo ikiwa ni kilele cha mkutano mkuu wa kanisa ambalo limetimiza miaka 81 tangu kuingia nchini. Nini kutaenda kuzunguzwa? Kaa nami nitakujuza.
=======
10:20 AM: Kwa...
Kwa mahitaji ya Badge Quality basi tupo kwa ajili yako!
Tsh 7,000/ Piece 1.
Tunafanya Free Delivery ndani ya Dar es Salaam mikoani tunatuma kwa bus.
Call/WhatsApp +255 658 060 476
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.