tag

  1. JanguKamaJangu

    Mahakama yawaachia kwa dhamana Wachungaji wa Kanisa la TAG wanaotuhumiwa uhujumu uchumi

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Ruvuma imewaachia kwa dhamana wachungaji wawili James Michael Komba na Beatus Aron Mwambuchi wa mchungaji kanisa la TAG lililipo Lizaboni Manispaa ya Songea wanaotuhumiwa kwa kosa la uhujumu uchumi. Akisoma hukumu ya maamuzi ya maombi ya dhamana ya watuhumiwa...
  2. Stephano Mgendanyi

    Pre GE2025 BUSOKELO: Kanisa la TAG Latoa Tuzo kwa Mbunge Mwakibete Kutambua Kazi Inayofanyika Jimboni Busokelo

    BUSOKELO: Kanisa la TAG Latoa Tuzo kwa Mbunge Mwakibete Kutambua Kazi Inayofanyika Jimboni Busokelo KANISA LATAMBUA KAZI ZA MBUNGE MWAKIBETE, AKABIDHIWA TUZO IBADA YA MWAKA MPYA 2025 Katika Ibada ya Mwaka Mpya Iliyofanyika Katika Kanisa la Tanzania Assemblies of God JCC Lwangwa imetambua kazi...
  3. Right Way In Light

    Kwa kanisa la TAG linalojifia kila siku, kuna hazina chache sana zinapotea zikilia juu ya kanisa

    Hakuna ubishi heshima ya kanisa la pentecoste na hapa nikiizungumzia TAG kwasasa imepotea sana . Ile heshima ya wokovu na heshima ya Kristo ambayo kanisa hili lilibeba hapo zaman kwasasa inazidi kuporomika kwa kasi sana. SIkuwahi kuijua TAG vizuri licha ya kujiunga humu mwaka 2015 nikitokea...
  4. tamsana

    LIVE Kilele cha maadhimisho miaka 85 ya TAG. Mgeni rasmi Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa

    Shalom Shalom! Leo ni siku ya pekee ambayo waumini Kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG) wanaadhimisha uwepo wa kanisa hili kwa miaka 85 sasa. Kanisa hilo lilikuwepo tangu kabla wa uhuru wa Tanganyika. Kwa mengine mengi kuhusu kanisa hilo tangu kuanzishwa hadi sasa tafadhali karibu...
  5. Ghost MVP

    Tom Cruise VS Ryan Reynolds, Nani Utampa Tag ya "MKALI WA ACTION"

    Tom Cruise Nyota wa Filamu pendwa za Mission Impossible, Top Gun, Mummy, Jack Reacher, Edge of Tomorrow Ryan Reynolds Nyota wa Filamu kali za Deadpool, The Adams, 6 Undergrounds, Free guy, Hitman's Bodyguard Je nani utampa Tittle ya "MKALI WA ACTION", Kwanini na Movie ipi unaikubali kutoka...
  6. Erythrocyte

    Freeman Mbowe ahudhuria Ibada Maalum katika Kanisa la TAG Kinondoni

    Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba , Mwenyekiti wa Chadema , Freeman Mbowe , mtu anayetajwa kama muasisi wa siasa za Kisasa kwenye eneo la maziwa Makuu , leo tarehe 14/10/2023 amehudhuria Ibada maalum kwenye kanisa la TAG REVIVAL CHURCH , Kinondoni . Ibada hiyo Maalum ina lengo la kuweka Jiwe...
  7. tamsana

    Misingi ya Imani ya Kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG)

    Ni ukweli usiopingika kuwa kila imani (kanisa/dhehebu) lina misingi ya kuanzishwa kwake ambayo ndiyo inaisimamia. Misingi ya Imani ya Tanzania Assemblies of God inasimamia misingi kumi na sita (16) ambayo kila muumini anatakiwa kuiishi. Misingi hiyo ipo kwa mujibu wa Biblia Takatifu ambayo ni...
  8. Roving Journalist

    Arusha: Rais Samia ashiriki Maadhimisho ya Miaka 60 ya KKKT - Agosti 21, 2023

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Maadhimisho ya Miaka 60 ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) katika Chuo cha Tumaini Makumira – Arusha leo tarehe 21 Agosti, 2023. https://www.youtube.com/watch?v=0du5OfCnYHM Rais wa Jamhuri ya Muungano...
  9. Mamujay

    Facebook tag everyone tip

    Habari ya saizi, Kuna hii tip mpya ya kutag kila rafik yako kwenye comments Facebook, naomba msaada unaiandikaje?
  10. Niache Nteseke

    MSAADA: Naomba 'link' ya filamu ya Vuta N'Kuvute | Tag of War

    Wakuu heshima kwenu. Natumai mpo salama kabisa, kama mada inavyojieleza hapo juu naomba msaada niweze ku-download hiyo movie ya kibongo inaitwa TAG OF WAR mwenye direct link naomba anisaidie tafadhali. Natanguliza shukran.
  11. DR HAYA LAND

    Hivi hawa ndugu zetu KE hawawezi toboa maisha pasipo kupata "Tag" kutoka kwa ME?

    Inakuwaje wote Mungu katupa akili sawa, ghafla kuna mtu anaamua kutamani kufugwa na kuwa chini ya uthibiti wa mtu mwingine? Yaani ikitokea mwanamke kaolewa na mtu wa chini sana, na huyo mtu wa chini akishindwa kutoboa ndiyo imetoka hiyo. Soluhisho ni kuuza K tu. Na wengi wao wanauza K hadi...
  12. sky soldier

    Zanzibar: Kanisa la T.A.G pamoja na makazi ya Mchungaji wake Daudi Suna, yamebomolewa na wanaodaiwa ni wakazi wa eneo hilo

    Kanisa la T.A.G pamoja na makazi ya Mchungaji wake Daudi Suna yamebomolewa na wanaodaiwa ni wakazi wa eneo hilo wakishinikiza kuwa hawataki Kanisa katika eneo lao. Hii ni kunyume kabisa na sheria za nchi zinazoruhusu Uhuru wa Kuabudu. Kama jambo halitafanyika basi ni wazi kuna kiongozi mbaguzi...
  13. J

    Rais Samia Suluhu amlilia askofu Dkt Ranwell Mwenisongole wa TAG

  14. N

    TFF wawataja GSM kwenye post ya twitter huku wakiwadharau NBC

    Huu mkataba unaosababisha hadi CEO wa Simba kufukuzwa uwanjani na familia yake, huu mkataba unaolazimisha Simba avae nembo begani kwa milion 5 kwa mwezi ilihali anao ATCL na AFricarriers waliotoa buses 4 na hawako hata kwenye jezi ni wa ajabu sana. Mbaya zaidi ni kit supplier wa li team libovu...
  15. Yesu Anakuja

    Tamasha la Muziki na kuabudu TAG

    Juzi Ijumaa nilibahatika nikawa Dodoma, kichwa kilikuwa kimechokaaa kwasababu nilienda Dodoma msibani, pia homa kali ilinianza ghafla, nikaazimia moyoni leo naenda kulala kanisani. yalipita magari yanatangaza kuwa kuna tamasha la muziki chuo cha Biblia kule mipango, nikaenda. nilikuwa na kiu ya...
  16. U

    Mrisho Gambo ajitolea Mifuko 100 kwa Kanisa la TAG Arusha

    Mbunge wa Arusha Mjini kupitia Chama Tawala CCM leo amekabidhi mifuko 100 kwa Kanisa la TAG Kata ya Olmot Arusha Hongera Gambo kwa kuwa mfano wa kuigwa na kuamua kujiwekea hazina mbinguni
  17. Jaji Mfawidhi

    EAGT[ Walokole walioasi TAG] mwaka 1991 waomba Rais aingilie

    Baada ya Mgogoro kufukut na waEAGT kuomba raisi aingilie kati nao TAG wanataka warudishiwe mali zao ambazo MOSES KULOLA likimbia nazo na kumuacha EMMANUEL LAZARO bila kitu. Makanisa na viwanja hivyo mpaka leo vipo kwa majina ya REGISTERED TRUSTEES OF TAG, hamna namna EAGT wataweza kuendeleza...
  18. Pastory Kimaryo

    Msaada: Nisaidieni namna ya ku-skip Instagram story yenye tag ya jina au post

    Habarini, Nikiwa napitia Instagram stories sometimes nakutana na tags na nikitaka ku-skip nashindwa hadi liishe, tafadhali nisaidieni nifanyeje Nawasilisha, Nawategemea.
  19. J

    Kanisa la TAG lampongeza Rais Dkt. Hussein Mwinyi kwa kumteua muumini wao kuwa mjumbe wa Baraza la Wawakilishi!

    Askofu mkuu wa Kanisa la kilokole la Tanzania Assemblies of God Dr Barnabas Mtokambali amempongeza Rais wa Zanzibar Dr Hussein Ali Mwinyi kwa kumteua muumini wa Kanisa hilo kuwa mjumbe wa Baraza la Wawakilishi. Dkt. Mtokambali alifika Ikulu ya Zanzibar kumfikishia Rais Mwinyi salamu hizo za...
  20. Kiraka Kikuu

    Msaada: Kanisa la TAG maeneo ya Lamadi, Simiyu

    Habari wakuu. Nipo kwa muda hapa Lamadi wilaya ya Busega mkoa wa Simiyu. Naomba msaada kwa anae fahamu location ya kanisa la TAG lililo maeneo ya Lamadi. Natanguliza shukrani.
Back
Top Bottom