julius kambarage nyerere

  1. Mdaka Mdaka

    SoC02 Barua kwa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere

    Ilikuwa kwamiaka 23 au nazaidi sikumbuki, ninachokumbuka nikwamba ulifanya kila uwezalo kuipatia nchi uhuru, ukaweka jitihada kubwa za kuliunganisha Taifa na mwisho mikakati madhubuti yakuleta maendeleo. Mwalimu; uliwachukia maadui watatu waletao udhalili; umaskini, ujinga na maradhi...
  2. Mohamed Said

    Julius Kambarage Nyerere alipokuwa mwalimu wa shile 1953

    JULIUS KAMBARAGE NYERERE ALIPOKUWA MWALIMU WA SHULE 1953 Ilikuwa wakati huu kwa mara ya pili Abdul Sykes alimshauri Nyerere kujiuzulu kufundisha ili ashughulike na kazi za TAA. Wazo hili halikumvutia Nyerere kama vile ambavyo halikumvutia Chifu Kidaha Makwaia miaka minne iliyopita. Lakini...
  3. M

    SoC02 Jinsi Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alivyonisaidia mwaka 2011 akiwa kaburini

    Mwaka 2011 nilipewa kazi ya kutafuta almasi na kumtumia mfanyabiashara mmoja wa Ulaya. Katika harakati za kutimiza jukumu hilo nikajikuta nalazimika kwenda nchini Namibia ambako kuna wauzaji wa almasi ambao mfanyabiashara huyo alikuwa ameshaonana nao na akanituma nikakague almasi zao na...
  4. J

    Baadhi ya Viwanda vya kimkakati alivyoanzisha Mwl. Julius Kambarage Nyerere ambavyo ni magodauni na magofu

    Hivi ni baadhi tu ya Viwanda vya kimkakati alivyoanzisha Baba wa Taifa Mwl. Julius Kambarage Nyerere bahati Mbaya vingi ni magodauni na magofu vijana inawezekana mmesahau 1. TANGANYIKA PACKERS - usindikaji,upakiaji na usambazaji wa nyama ya ng'ombe. Kiwanda hiki kilikuwa Kawe na kingine mkoani...
  5. Mohamed Said

    Miaka 100 ya Julius Kambarage Nyerere: Hotuba ya Karne uchaguzi wa kura tatu Tabora 1958

    Kushoto ni Brian Wills kutoka Conservative Party ya Uingereza akisimamia uchaguzi wa UTP huyo pembeni yake ni Sheikh Hussein Juma aliyekuwa Makamu wa Rais wa UTP.
  6. Mohamed Said

    Miaka 100 ya Julius Kambarage Nyerere; Mjue Baba wa Taifa

  7. Mohamed Said

    Tanzania kuadhimisha miaka 100 ya Julius Kambarage Nyerere

    TANZANIA KUADHIMISHA MIAKA 100 YA MWALIMU NYERERE WIZARA ya Maliasili na Utalii kwa kushirikiana na wadau imeandaa na kuzindua programu ya Maadhimisho ya miaka 100 ya kuzaliwa Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ikiwa ni sehemu ya kuenzi na kusherehekea urithi wa maisha yake...
  8. Mohamed Said

    Miaka 60 ya uhuru wa Tanganyika1961: Rashid Mfaume Kawawa, Kenneth David Kaunda, Julius Kambarage Nyerere katika nyaraka za Sykes

    MIAKA 60 YA UHURU WA TANGANYIKA1961: RASHID MFAUME KAWAWA, KENNETH DAVID KAUNDA NA JULIUS KAMBARAGE NYERERE NDANI YA NYARAKA ZA SYKES Nimekutana na picha hiyo hapo chini kushoto Rashid Mfaume Kawawa, Kenneth David Kaunda na Julius Kambarage Nyerere. Hii picha bila shaka ni ya miaka ya mwishoni...
  9. babalao 2

    Mjue Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kwa undani

    HISTORIA FUPI YA MWALIMU NYERERE MPAKA MAUTI YALIPOMFIKA Tarehe ya kuzaliwa: 13 Aprili 1922 Mahali pa kuzaliwa: Butiama Tarehe ya kifo: 14 Oktoba 1999 Rais wa kwanza wa Tanzania: Alingia ofisini 1964 - 1985 Alifuatwa na: Ali Hassan Mwinyi Dini: Mkristo Mkatoliki Elimu yake Chuo Kikuu cha...
  10. Gama

    Hotuba za Mwalimu Julius Kambarage Nyerere

    Hotuba ya kwanza ya Mwalimu Julius Nyerere mara tu baada ya kuwa Waziri Mkuu kufuatia ushindi wa TANU ambao ulikipa ridhaa chama hicho kuunda Baraza la Kwanza la Mawaziri wa Serikali ya Tanganyika mwaka 1961. HOTUBA YA KWANZA YA MWALIMU NYERERE Gazeti-Mtanzania; Ijumaa Oktoba 14, 2005.
Back
Top Bottom