Hakika mwalimu alishinda vita ya kijamii, sidhani hapa Africa ana mpinzani katika social policies ambazo hadi leo tunafaidika nazo.
Sidhani hii leo kuna kiongozi anaweza akawa honest kuwa aliteleza.
Katika interview hii, anakiri kutaifisha viwanda ilikuwa ni kosa kubwa mno akiongeza na...
Kati ya vitu ambavyo Hayati Nyerere alivipinga sana ni pamoja na kabila kubwa kushika madaraka ya urais na hili alikuwa na sababu kubwa sana ambazo tumejidhihirisha katika kipindi cha awamu ya tano.
Nadhani wahusika mmejifunza pia na hamtarudia tena makosa mliyoyafanya miaka mitano iliyopita...
Huu ni muungano wa kulazimisha tena kwa mtutu wa bunduki. Ndio maana Kenyatta alisemaga watanzania ni wafu.
Muundo wa hovyo hauwajawahi kuwepo duniani ndio maana CCM wanauita wa pekee hp duniani. Eti watu hawatakiwi hata kutaja jina Tanganyika kwasababu eti hatujui hata maana ya jina Hilo. Nini...
1. Wote ni wapenda amani na umoja, kama Mwalimu Nyerere alivyopigania amani, Rais Samia anahakikisha Tanzania inabaki kuwa nchi ya utulivu.
2. Nguli wa Kiswahili, Mwalimu Nyerere alijenga misingi ya Kiswahili, Rais Samia anaipeleka lugha hii kimataifa, "Tunamwita Mama Global"
3. Mafundi wa...
Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Baba wa Taifa na Rais wa kwanza wa Tanganyika (baadaye Tanzania), alikuwa kiongozi mwenye ushawishi mkubwa barani Afrika na duniani. Katika kumbukumbu ya miaka 25 ya kifo chake, haya ni mambo 7 muhimu kuhusu Nyerere:
1. Muanzilishi wa Taifa la Tanzania: Nyerere...
baba wa taifa
juliuskambaragenyererejuliusnyererekambarage
kumbukizi
kumbukizi juliusnyerere
miaka 25
mtumishi
mtumishi wa mungu
mungu
mwalimu nyererenyererenyerere day
oktoba 14
NYERERE DAY: MAKTABA INAVYOMUADHIMISHA BABA WA TAIFA
Leo ni Nyerere Day.
Leo ni siku ya mapumziko.
Taifa linamuadhimisha Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
Maktaba yangu ni kati ya maktaba tatu zilizosheheni historia ya Mwalimu Nyerere.
Maktaba ya kwanza ni ya Dr. Salim Ahmed...
Ndoto ya Mwl. Nyerere kukubali vyama vingi vya siasa nchini ni kupata vyama viwili vikubwa vinavyokosoana, kuonyana na kuogopesha kisera katika kuitawala nchi. Hakupenda utitili wa vyama vidogovidogo visivyoweza kuikosoa na kuitikisa CCM katika kuzuia ukabila, umaskini, udini na rushwa.
Vyama...
Hii ni Kero Kubwa sana Wahusika ninaomba Serikali ya Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hassan iwachukulie hatua kali kuondosha aibu kubwa kama hii inayo fedhehesha Taifa letu. Wageni wakija na kuona maji hakuna katika vyoo ni kitendo cha aibu sana kwa nchi yetu inayo tegemea sana Bishara ya Utalii na...
Mwalimu Nyerere aliwahi kusema kuwa kuna wanasiasa malaya, na akaongeza kuwa wanasiasa malaya wana bei. Ukiifikia bei yake, ananunulika.
Ukweli huu wa mwalimu unaishi mpaka leo. Tuna wanasiasa wachache sana wa itikadi, yaani wale ambao liwake jua au inyeshe huwezi kuwaondoa katika kile...
Siku hizi Wabunge ni wajanja sana kabla hawajaulizwa swali kama hili Wao Ndio huanza kumpamba Rais kwamba yeye Ndio alpha and Omega.
Nakumbuka Mwalimu Nyerere alipombabatiza na swali hili mbunge wangu wa Kinondoni Wakati Ule Ndugu Msakandeo.
Nyerere: Ndugu Msakandeo tuambie Wewe kama Mbunge...
Leo ni mfanano wa siku ya kuzaliwa kwa aliyekuwa Rais wa kwanza wa Tanzania, Julius Kambarage Nyerere.
Kama angelikuwa hai basi leo angekuwa anatimiza miaka 102 yankuzaliwa kwake.
Heri ya kuzaliwa kwako Mwl. Julius Kambarage Nyerere
Serikali ya Afrika Kusini imeendelea kutambua na kuuenzi mchango wa Baba wa Taifa la Tanzania, Hayati Mwl. Julius Kambarage Nyerere katika harakati za kupigania uhuru wa nchi hiyo na bara la Afrika kwa jumla.
Hayo yameelezwa na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Afrika Kusini, Mhe. Candith...
Bahati mbaya vijana wengi waliozaliwa mwaka 2000 hawakuwahi kumwona wala kumwelewa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere,Mimi niliyezaliwa 1980 nilibahatika kidogo nyakati hizo nikiwa shule ya Msingi bungo pale Morogoro,nilipokuwa kiongozi wa chipukizi, nilipeana naye mkono mara moja japo alikuwa...
Katika pita pita zangu nimekutana na barua ya kanisa Katoliki Tanzania ambayo inaonyesha kwamba kanisa lipo katika mchakato wa kumtangaza Baba wa taifa, Rais wa kwanza wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Mwl. Julius K. Nyerere kuwa mtakatifu/mwenye heri.
Nianze kwa ushairi wa Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ulioandikwa katika kitabu chake cha "Uongozi wetu na hatma ya Tanzania"
Ole wake Tanzania Tusipoisaidia
Niwezalo nimelifanya kushauri na kuonya,nimeonya tahadhali nimetoa ushauri nimeshatoka kitini zaidi nifanye nini,namlilia Jaalia...
Kama Taifa, leo ni siku maalum ya kumkumbuka Mwal JK Nyerere, Rais wa kwanza wa Tanganyika na Tanzania aliyefariki dunia mnamo tarehe 14 Oktoba 1999.
kuna vitu vingi sana vinatufanya tuendelee kumuenzi kutokana na mchango wake katika kulijenga taifa bora.
Haya ni mambo aliyosimamia na ambayo...
Naamini bila ya chembe ya wasiwasi kuwa kwa sasa historia ya Iddi Faiz Mafungo inafahamika na wengi.
Iddi Faiz Mafongo Mweka Hazina wa TANU na Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika aliyesimamia ukusanyaji wa fedha za safari ya kwanza ya Mwalimu Nyerere UNO mwaka wa 1955 na mmoja wa watu...
Huyu mzee ndio GENIOUS SISI LEO TUNAIAHI VIZURI ILA ALIKAA NA WAZUNGU KWA AKILI ZAKE NYINGI AKACHUKUA NCHI ANGEAMUA KUWA DICTATOR ANGEWEZA ILA MIAKILI YAKE NCHI NZIMA TUNA UHUURU WETU RESPECT TO THE FATHER OF THE NATION
AIBU AIBU Chama kikongwe chenye Miaka 60 Madarakani CCM kinaogopa kukosolewa, kinazuia Mikutano ya Hadhara kinatengeneza Wabunge fake 19 wasio CHAMA Bungeni.
Kinateua Wenyeviti wa Serikali za Mitaa badala ya KUPIGIWA kura kwa hofu ya KUSHINDWA na Chadema (Uchaguzi Serikali za Mitaa 2019)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.