Daah kama kichwa kilivyo hapo juu kuna mdau mmoja wa kolo fc anajitetea eti sababu ya kuchelewa kwa uzi wao ni sababu ya vita vya Ukraine vs Russian.
Et jamani ni kweli nyie makolo?
Wachambuzi wanahoji kuhusu jezi mpya za Simba kuchelewa kutoka mpaka Simba day ikikaribia na jezi bado hazijatoka.
Wakati Yanga wanaanza msimu na kucheza mechi ya ligi msimu mpya na jezi ya zamani mbona mlikuwa kimya?
Mzigo umekuja na Meli na siyo kwa Bung'o ( Ndege ) kama ambavyo Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally anavyotudanganya.
Ukweli ni kwamba Kit Supplier wetu Fred Ngajilo 'Vunja Bei' alikuwa na Ukaribu wa Kisamjo Samjo ( Ujanja Ujanja ) na aliyekuwa Boss wa TPA ( aliyeondolewa ) hivi karibuni ( ambaye...
Dah hizi dharau sasa, msikiti wa Idrissa umewekwa kwenye jezi lakini hata kanisa la azania limeshindikana kweli bwana Ngowi, au ni maelekezo maalumu toka salamander maana hata wao umewaweka kwenye jezi
kama utatengeneza za FA usisahau basi kanisa au hata mwamposa umuweke ndugu yangu na...
Watu wengi wameshangaa kuona majina ya malegend wa Yanga akina Hamis Kinye kwenye third kit ya YANGA lakini hili siyo jambo la ajabu kwani hata Klabu hii ya Italia imewahi kufanya
Torino's New Away Jersey Features The Names Of Club Legends And It's Absolutely Stunning
By Mikey Traynor
Jul...
Jezi za Klabu Bingwa na Shirikisho zonatakiwa ziwe na Uhalisia wa Soka ( Mpira ) tu na siyo kuwa na Jezi zenye Picha za Vifusi, Maghorofa na Machinjio ya Vingunguti.
Kuna Timu Moja hapa Tanzania ( siyo Simba SC ) inaweza Kucheza Kifua Wazi ( Kidali Po ) Mechi zake za Klabu Bingwa Afrika ( hatua...
Kwakweli yanga wamejaribu kuteka attention za mashabiki mbalimbali kwa kusubiri jezi ambazo walisema zitakuwa bora kuliko timu yoyote ile, je Simba wataweza kuwafunika Yanga katika kuzindua jezi zao mpya siku za usonii.
Vipi wadau wa nguvu moja Msimbazi
Andiko la Bernard Morrison: "Mara nyingi tunakatishwa tamaa na wale tunaowapenda na kuwaamini. lakini wacha nifanye hadithi yangu kuwa fupi na rahisi, nahitaji vipande 100 vya jezi za simba kutoka kwa mashabiki waaminifu ili zipewe marafiki na familia nchini Ghana.
"Hii ni kutokana na nyinyi...
Watu wa Soka,
Juzi Jumanne 21/06/2022 saa 7:00 mchana tulimtambulisha rasmi mchezaji wetu mpya Habib Haji Kyombo ambaye tumemsajili kuja kuongeza nguvu kwenye safu yetu ya ushambuliaji.
Kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii (@singidabsfc) tulichapisha baadhi ya picha zake akiwa anasaini...
Katika hali kama hii ndipo unapoona wazi wazi bila kificho kwamba pesa zina elements kubwa sana za ushetani.
Mchezaji wa PSG (timu hii inamilikiwa na shehe tajiri) wiki iliyopita alikataa kuvaa jezi yenye rangi za kuunga mkono ushoga, usagaji na kubadili jinsia, sababu yake kuu ni kwamba ni...
Hapo majuzi, timu kubwa ufaransa ya PSG ilienda kucheza mechi huku wachezaji maarufu wa dini kuu mbili wakiwa wamevaa jezi za kuhamasisha na kuutetea ushoga na usagaji lakini kuna mchezaji moja Idrissa Gueye alikataa kuvaa hizo jezi akilalamika ni kinyume na anachoamini
Hili suala si la kidini...
Inasemekana Fred Vunjabei alikuwa na stoku maalum ya jezi kwa ajili ya mashabiki maalum wa Simba, lakini hazikuuzika vizuri msimu huu, hivyo Chadema walienda kwenye magodown yake na kuomba wauziwe kwa Mali kauli, lakini mpaka Leo hawajalipa!
Tukiwa tunamalizia msimu huu, baadhi ya timu zimeshaanza kutoa jezi mpya kwa msimu ujao. Timu kubwa ya kwanza kuachia jezi zao ni Liverpool.
Uzi huu utakuwa unakuletea jezi mpya kadri tunavyozipata kutoka katika vyanzo mbalimbali.
Karibu...
Tunatoa huduma zenye kiwango katika kuprint jezi na aina tofauti tofauti za nguo, Karibuni sana.
Tunapatikana Mianzini Mataa.
kwa mawasiliano:
0752 466 942
0788 429 756
e-mail:africanriseup@hotmail.com
Vumilieni tu kama ambavyo nasi pia mara kwa mara Mwenzenu Waziri wa Fedha Dk. Nchemba akiwa anatuchamba mpaka Kutudhihaki huwa tunavumilia na wala hatumfanyi kuwa ni Adui yetu kwani tunajua kuwa huo ni Utani wetu akina Kulwa na Doto wa Kariakoo Mmoja akiwa Mafurikoni na mwingine akiwa Sokoni kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.