Kwenu Wabobezi wa Marketing hivi Kupunguza Bei ya Bidhaa ili Uuze nyingi na Utambe kwa Watu ndiyo Mafanikio Kibiashara au Mafanikio zaidi ni Kuuza kwa Bei ya Juu hata kama utauza Chache ile utaingiza Pesa nyingi na pia Utakubalika kwa Ubora ( Quality ) ya bidhaa?
Leo Klabu ya Yanga imeamua...
vibe la simba linajulikana afrika nzima sasa matapeli fulani yamekaa sehemu miaka 3 yameona ni ujinga mtupu yakaenda kuingia MKATABA WA KIMANGUNGU na watu wazima wasiojiheshimu watu wazima ambao unaweza kutoa billions 3 kwa mwaka vi team vipewe milion 80 kwa mwaka ukaamuru kila mchezaji apigwe...
Kwasasa habari ya mjini ni Mwamba wa Lusaka, ambaye masaa machache yajayo atatangazwa kuwa amesinya mkataba ndani ya klabu ya Yanga, hivyo ukiwa kama mdau wa michezo na mwanayanga unafikiri Chama tumoe jezi namba ngapi jamani?
NB
Kila mbuzi ale urefu wa kamba yake
Ukisikia aibu ni hizi kumbe kutwa nzima tunaiponda GSM na Manara anatucheka tu kimyakimya , wanasimba kwa pamoja tuwaombe radhi Gsm kwa mujibu wa clip ya manara instagram ni kwamba GSM ndiyo wanaotengeza jezi za simba hiyo ni baada ya kuonekana kilichoitwa jezi feki za simba
Ukiamini kwamba ni...
Katika mechi yao leo na KMC. Yanga wamevaa jezi isiyokuwa na nembo ya ya mdhamini tofauti na timu nyingine kama tulivyoona katika mechi nyingine zilichezwa leo.
Wadau wengi wa soka tunasubiri kusikia kauli ya TFF. Kwani hili ni tukio kubwa saana kwa mustakabari wa soka letu.
Kuna mtu kaniuma...
Inashangaza kuona kuwa wakati timu za Mataifa mengine, hata ya Kiafrika, kuja na mwonekano mpya wa jezi za timu zao za Taifa, Taifa Stars imekuwa ikija na jezi za mwonekano huo huo kwa miaka zaidi ya minne mfufulizo.
Inasemekana kuwa TFF ilimpa tenda Kassim Dewji kuivalisha Taifa Stars, lakini...
Klabu ya Yanga imeamua kutangaza utalii katika jezi zao katika mechi za kimataifa! Wamefikia makubaliano hayo na Wizara ya Maliasili na Utalii kupitia waziri wa wizara hiyo Dr. Damas Ndumbaro.
Yanga itatangaza bure Mlima Kilimanjaro pamoja na Visiwa vya marashi na karafuu (Zanzibar).
"Tumeamu...
Habari wanaJF,
Naomba kwa yeyote anayejua full team (kikosi cha simba na kikosi cha Yanga) na jezi namba za wachezaji msimu huu 2021/2022 anitiririshie hapa.
🙏🙏🙏
💰 £187m in shirt sales
👕 Fastest selling shirt in Premier League history
🙌 Almost twice as many ‘Ronaldo 7’ shirts bought than ‘Messi 30’ shirts
🤑 Man Utd recouped entire transfer fee before Ronaldo's kicked a ball
Nobody sells shirts quite like Cristiano Ronaldo
Baada ya semaji la nchi bugatinho kuwatawdhalisha kolo utelembwe kutofua shumiz za vunja price kwa quality mbovu madhara yake yashaanza kuonekana kabla ya kuanza kufuliwa,zikifuliwa si zitakua balaa
Bila kupepesa maneno ni suala la kutafakari na kuhoji,
Vunjabei ametoa fedha kwa ajili ya haki za mauzo ya jezi za Simba. Hik kiwang cha Fedha atakipata ama na faida kama ataendelea kuuza jezi kwa msimu huu mzima.
Tunachojiuliza ni kuwa mtengeza Jezi ameweka Logo yake kwa chini pale na...
Jambo hili limewakera mno wanasimba mtandaoni ambao hawaja acha kuonyesha hasira zao kwa viongozi wao.
Timu kubwa Kama Simba ku ahirisha shughuli?what is going on?
MAKOLOKOLO YAO NIMEYAPATA KABLA YA WAO KUZINDUA
Shukrani zote ziwaendee majembe wangu majasusi waliopo katikati yao. Walijidai wana siri wakati najua kila kitu wanachofanya.
Sasa rafki yangu vunja bei badala ya kuzindua jersey unaleta sare za kwaya ya kijitonyama hahahaha
Wameweka adi happy...
Hakika alichofanya vunja bei ni zaidi ya uhuni kwenye jezi mpya za simba, ubunifu zero alichofanya kachukua jezi ya timu ya taifa ya Tunisia ya mwaka 2019 kisha kaongeza yale makorokoro .
Na leo wametutambulishia kuwa ni uzi mpya wa simba ajabu kweli
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.