Naamini mpaka sasa duniani hakuna, kama wapo ni wachache sana, wasioelewa kuwa kuna vita inapiganwa kati ya Hamas (Wapalestina) na Mazayuni (israel).
Naomba ieleweke, hakuna vita ya Waarabu na Wayahudi au Waislam na wasio Waislam.
Hamas ni kikundi cha kihalali cha kisiasa na Mazayuni ni kundi...
Kuna mambo hayana tija. Katika hayo ni pamoja na kukiri kuhusika na shambulizi au madhara ya shambulizi yanapowakuta.
Nani asiyejua kuwa wao wanazidiwa mno rasilimali?
Kwamba kuwaunga mkono ni wajibu, si kwa sababu ya ubabe wao bali kwa kuwa ni wahanga wa udhwalimu wanaofanyiwa.
Sasa hili...
MODS: Mumeharibu uzi wangu kwa kuchanganya na habari za uwongo. Narudia ku-post upya. Tafadhali uacheni.
Yahya Sinwar ameteuliwa kuwa Kiongozi Mkuu wa Hamas kumrithi Ismail Haniyeh aliyeuliwa majuzi akiwa Iran na mazishi yake yalifanyika Qatar.
Yahya Sinwar ndiye aliyepanga na kuratibu mauaji...
Wadau hamjamboni nyote?
Ayatollah Ali Khamenei ameongoza maelfu ya watu kuaga mwili wa Jemedari na Kiongozi jasiri wa kundi la hamas Ismael haniyeh aliyeuawa na magaidi wa Kiyahudi.
Ama Kwa hakika ameagwa kishujaa na atazikwa Doha. Taarifa kamili hapo chini.
==========
BEIRUT (AP) — Iran’s...
Hapo juzi wajumbe wa Israel walielekea nchini Misri bila mwaliko rasmi ikitaka mazungumzo yaliyodorora ya kusitisha vita yafufuliwe tena.Hiyo ilikuwa ni siku mbii tangu kuuwawa kwa Ismail Haniye ndani ya Iran ambapo Iran imeahidi kulipiza kisasi.
Sambamba na hatua hiyo ya Israel leo Iran...
Huyu alikuwa ndiye waziri wa fedha na uchumi wa Hamas ambaye pamoja na majukumu mengine kazi yake ilikuwa kitengo cha Hamas cha uzalishaji silaha.
The IDF says it killed Hamas's economy minister in an airstrike in the Gaza Strip yesterday.
According to the IDF, Abd al-Fattah al-Zari'i also...
Kufuatia minara yote ya simu na vinu vya umeme kubomolewa huko Gaza,Ellon Musk kwa kile kilichoonekana malengo ya kibiashara alisema ataunganisha jimbo hilo na mtandao wake wa mawasiliano wa star link.Israel ikamshutumu sana na yeye akarudi nyuma.
Hata hivyo watu wenye ndugu zao nje huko Gaza...
Hali ya usalama inazidi kuwa tete huko Tehran, Iran baada ya serikali ya nchi hiyo kuanza uchunguzi wa maafisa wake wa usalama kuhusu kuhusika kutoa usaidizi kwa Israel katika njama za mauaji ya kiongozi mkuu wa Hamas wiki hii.
Mpaka sasa hakuna taarifa yoyote ya uhakika inaonyesha namna gani...
Wadau hamjamboni nyote
Ama kweli IDF na Mossad wako kazini na hawatanii linapokuja suala la kuwasaka Viongozi wa magaidi ya Hamas na Hezbollah.
Shambulizi moja tu chini ya ardhi laua magaidi 5 ambao waliamini wapo salama chini ya mahandaki
Taarifa kamili hapo chini:
Israel recently...
Wadau hamjamboni nyote?
Nimeona ni vema tukawajua angalao kwa ufupi tu Viongozi wakuu wa magaidi wa hamas wakiosalia hai hadi leo Agosti 1/2024
Hawa ndiyo Viongozi wakuu wa magaidi wa hamas waliopo hai leo hii huku msako mkali ukiendelea dhidi yao
Wengi wao wamenusurika kimaajabu majaribio...
Hakuna kamanda wa Hamas aliyeuawa Gaza kama walivyotangaza kuwa Deif keshauawa hizo ni propaganda tu
Pia hakuna kamanda wa Iran alouawa Syria hizo ni propaganda za vyombo vya habari vya Israel
Pia jiji la Haifa wametangaza marufuku kwa raia kupiga picha ya uharibifu wowote utakaotokana na...
Shirika la kijajusi la Israel MOSSAD linadaiwa kutumia viumbe vya Allen's katika operesheni zao,
Inaelezwa kuwa mossad wanawatumia Allen's kuwafanyia kazi zao,
Kufuatia kuuliwa Kwa kiongozi mkubwa wa hamas hapo Jana, Ismael hayineh,
Wachambuzi wengi wanashangaa kuhusu uwezo wa mossad wanawezaje...
Jeshi la Israel leo limethibisha kuuawa kwa mkuu wa jeshi la Hamas bwana Mohammed Deif kilichotokea 13 July 2024. Hamas wamekaa kimya kuhusu kifo cha huyu kamanda wao Mkuu.
---
Israel's military says it has confirmed that Hamas's military chief Mohammed Deif was killed in an Israeli air strike...
Wadau hamjamboni nyote?
Hizo ni habari mpya kabisa kutokea ndani ya kikundi cha kigaidi cha Hamas
Kwamba magaidi hao hawajakata tamaa kabisa
Kwamba Baraza/ Shura ya Maimamu yenye wawakilishi wa kikundi hicho kutokea sehemu mbalimbali watakutana muda wowote kuanzia sasa kumchagua mrirhi...
Kiongozi mkuu wa Hamas Ismail Haniyeh ameuawa nchini Iran, kundi hilo limesema.
Katika taarifa iliyotolewa leo siku ya Jumatano, Hamas imesema Haniyeh aliuawa kufuatia uvamizi wa Israel kwenye makazi yake mjini Tehran.
Kwa mujibu wa kundi hilo, Haniyeh alifariki baada ya kushiriki sherehe za...
Makubaliano yamefikiwa hii leo huko Beijing nchini China kati ya Hamas na chama cha Hamas ambacho kina mamlaka fulani huko ukingo wa magharibi.
Tangazo hili lilitolewa na waziri wa mambo ya nje wa China,ndugu Wang Yi ambapo upande wa Hamas uliwakilishwa na Mousa Abu Marzuk.Upande wa Fatah...
Kuna watu humu wanasema hamas/Palestina ni mashujaa.. Sidhani kama kuna sense katika usemi huo wakati watu wanateketea kama si binadamu. Why not release hostages and look for a new alternative to your demands!
Israel hammered the Gaza Strip from the air, sea and land Monday as the war in the...
Yaani watu 38,514 kuuawa sio mchezo, hesabu mmoja mmoja mpaka unafikia hiyo namba, na yote hiyo kisa ujinga wa kidini uliofanywa na HAMAS magaidi wa uislamu, sasa wanalegeza misimamo huku wakiendelea kuuawa................
Hamas on Saturday tentatively accepted a US-backed proposal for a phased...
IDF sasa inapiga hawa magaidi wa uislamu waliojichokea ambapo wamesambaratika mmoja mmoja, hawapo makundi tena, hamna kamandi. Kila mmoja anapigana kivyake..............
Lieutenant Oriel Mashiach, commander of the Sabar Battalion in the Givati Brigade, provided some insight to Maariv on Sunday...
Baada ya Israel kuuzingira mji wa kusini wa Rafah na kuudhibiti ukanda wa Philadephi unaotenganisha na Misri ilitarajiwa kama walivyojitapa Israel ingekuwa ndio mwisho wa nguvu za Hamas.
Maelezo yaliyokuwa yakitolea na Israel ni kwamba Hamas wana mahandaki wanayotumia kuingiza silaha Gaza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.