Wanaukumbi.
The Hebrew Channel 12 reports:
The Zionist prisoner "Emily Damari" who was released by the resistance last week asked to remain in captivity and release another prisoner in her place, but Hamas refused.
=========================
Idhaa ya Kiebrania 12 inaripoti
Mfungwa wa Kizayuni...
Kushinda vita siyo Nguvu,siyo silaha,Siyo technology!
Kati ya kitu ambacho kinahitajika kwene mapigano yyte yale n SPIRIT /IMANI.
Imani yakutoshindwa, Imani ya kutoa kila ulicho nacho kupigana
Imani ya kutumia mbinu zote ulizonazo.
Najua wajuaji watabisha ila NIAMININI MM! Kati ya vitu hatari...
Miongoni mwa makamanda muhimu Israel iliotangaza kuwaua ni pamoja na Mohammed Deif na mwenzake Hussein Fayyad aliyetajwa kama mtaalamu wa kutengeneza makombora ya Hamas .
Huku majaaliwa ya Mohammed Deif yakiwa bado hayajathibitika, mwenzake Hussein Fayyad ameendelea kuonekana kwenye mitaa ya...
Kwa sisi wana marekani tulioko yombo vituka tunakupongeza sana.
Walambe wote kaka, waje wakaandamane kwenye nchi zao zinazo support uoaji wa mabinti wadogo wa miaka 9...
Kwa mara nyengine Hamas itaachia mateka 4 wa Israel iliowachagua ambapo tayari majina yao yameshawekwa hadharani.
Jumamosi iliyopita ilikuwa ni burudani kubwa kwa ulimwengu na kwa watu wa Gaza waliposhuhudia kundi la Hamas likiwa limevalia kombati za kijeshi na kubeba bunduki walipojitokeza...
Wanaukumbi.
Hamas: Within the framework of the prisoner exchange, the Al-Qassam Brigades decided to release the following female soldiers tomorrow, Saturday, 01-25-2025:
1-Soldier Karina Arif
2-Soldier Danielle Gilboa
3-Soldier Ne'ma Levy
4- Private Leri Elbag
Hebrew Media:
The list of names...
Wananchi wa Palestina eneo la Gaza wameendelea kupata nafuu ya amani wakati wakirudi kwenye maeneo waliyokuwa wakiishi kote Gaza kufuatia usitishwaji wa vita kati yao na Israel vilivyodumu kwa zaidi ya mwaka mmoja.
Hali hiyo inatokana na kurudi kwa polisi wa Hamas wakiwa wamevalia sare zao...
Wanaukumbi.
⚡️🇾🇪BREAKING: Yemen itaachia meli ya Israel Galaxy Leader.
Katika taarifa ya Ansarallah "Houthis" VP ya vyombo vya habari:
“Kwa ombi la ndugu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hamas na kupitia kwa ndugu zetu katika Usultani wa Oman, wafanyakazi wa meli ya Israel, ambao...
Afisa wa Hamas, Taher al-Nunu Hamas amethibitisha kuwa itawaachilia wanawake wanne wa kutoka Israel waliokuwa mateka kwa kubadilishana na wafungwa wa Kipalestina.
Hili litakuwa tukio la pili la mabadilishano chini ya makubaliano ya kusitisha mapigano kati ya Hamas na Israel.
Kuachiliwa huku...
Picha za wapiganaji wa Hamas wakati wa makabidhiano ya mateka zimetajwa kuwa ni ushahidi kuwa vita vya zaidi ya mwaka mmoja havikuwamaliza wapiganaji hao.
Wakati huo huo video hizo zimewaudhi mno wahafidhina wa kiisrael akiwemo Ben Giver aliyewahi kupendekeza kutumika bomu la nyuklia kupambana...
Barghoit anasadikiwa kuwa ndio Mandela wa Palestina.
Habari kamili:
Mwanasiasa wa Kipalestina, Marwan Barghouti, kiongozi wa vuguvugu la Fatah ambaye kwa sasa anazuiliwa katika jela ya Israel, ni mhusika mkuu katika makubaliano ya kusitisha mapigano kati ya Israel na Hamas.
Katika mpango huo...
Mimi nadhani mnachanganya Mungu na itikadi yenu.
Ya Mungu ni ya Mungu, ya itikadi yenu ni itikadi
Kwa hio Mungu ndio aliwatuma hamas kwenda kila nyumba na kuua kila familia na kuwachoma moto?
Mungu ndie muhasisi wa ugaidi wa iran, hezbollah na hamas?
Washamba kwwli nyie
Wakati makombora yanarushwa kutoka Gaza kuelekea Israel, Jeshi la Israel huwa wanawaisha raia kwenda kwenye mahandaki.
Hamas hali ipo tofauti, huwa wanakimbilia kwenye mahandaki na kuwaacha raia watajijua wenyewe
WHY ???
Wadau hamjamboni nyote?
Mateka 3 wameachiwa huru kwenye utekelezaji wa makubaliano ya kusitisha mapigano.baina ya Israel na magaidi wa hamas
Romi Gonen, Doron Steinbrecher, na Emily samari wamewasili salama kwenye nchi ya ahadi wakiwa na watafanyiwa uchunguzi wa awali wa afya zao...
Wanaukumbi.
Ripota wa Israel anatoa maoni yake kuhusu video hii:
"Nataka tu kuuliza kwa upole: Je, Israel imekuwa ikishambulia kwa mabomu kwa siku 450 huko Gaza? Hamas inaonekana kuwa katika nafasi nzuri kana kwamba haikupigana vita dhidi ya jeshi la Israel." Hii video ya Hamas leo Jumapili...
Siku ya leo Jumapili Januari 19 vita vya Gaza vinaingia hatua muhimu ambapo kutakuwa na usitishwaji wa vita kwa muda na ambao unaelekea kuwa wa kudumu baada vita vya zaidi ya mwaka mmoja.
Vita hivyo ni kati ya taifa kubwa kijeshi la Israel na washirika wake ambao ni mataifa makubwa dunia dhidi...
Wanaukumbi.
🚨QATAR ANNOUNCES ISRAEL-HAMAS CEASEFIRE TO START SUNDAY
A Qatari-brokered ceasefire will go into effect Sunday at 8:30 a.m. IST (06:30 GMT), with Israel and Hamas agreeing to a hostage-prisoner exchange.
33 Israeli hostages (women, children, and elderly) will be freed over 6 weeks...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.