Yaliyojificha nyuma ya maandamano ya Gen Z na USSR kuhusishwa

The Supreme Conqueror

JF-Expert Member
Joined
Feb 13, 2017
Posts
458
Reaction score
1,280
1720378732454.jpg

Msemaji wa serikali ya Kenya anasema kitu kama kile kile kuwa kuna usaidizi unao toka nje ya nchi kusupport maandamano " sasa hapo amekomea kusema usaidizi wa nchi za nje hajasema ni nchi gani.

AGENDA NAMBA 260B
Hivi unajua haya maandamano ya kenya aliyepo nyuma ya pazia ni Putin rejea,
unatambua pindi Putin ameanza kuivamia Ukraine alikuwa na magari na vifaa vimepigwa chapa gani? magari yalikuwa na chata imeandikwa "Z". Z ni alama ya kivita ya kijasusi ya Urusi ambapo sina mdaa wakuelezea sana hapa leo.

Njoo kenya niambia kundi ambalo linaleta vuguvugu hizi linajiitaje ??
Jibu utapata ni "GenZ" yani wanafupisha kwa neno la "Generation Z" so chukua Z ya Urusi + Gen Z ya vijana wa Kenya hapo nyuma kajificha mtu mmoja anaitwa Mrusi na ipo hivi...

Putin ameanzisha program kubwa Afrika kuanza kuwasambaratisha Mmarekani na Mfaransa ndio sababu maeneo yote kuna base za Kifaransa na wamarekani kuna waka moto au kuna mapinduzi na ukifatilia mwisho wanakuwa funded by mrusi mwenyewe.

Sasa William Ruto,kaisha ifanya kenya ni mdoli wa Wazungu na kiherere wa kuongea sana kama kuingilia diplomasia za Urusi juzi alikuwa anamsema Putin ache vita, sasa kumbe yeye anasema hayo Putin kaisha anda vuguvugu la kumpinduia inshort William Ruto ameponea chai na maandazi sababu program hii inawezekana kuja kurudiwa tena mwezi wa 12 kabla ya kuingia January maombi kwake.
 
View attachment 3036425

N ujinga kumsukumia lawama mtu mwingine ilhali unajua wewe ndiyo ulisbabbisha maafa na ufisadi unaopigiwa kelele.
Ni nanani iliwapandishia kodi wananchi.?
Nani kampa bajeti ya kula tu mama Ruto huko Ikelu?
Nani anasafiri nje kila uchao kutembea tembea duniani?

Kuna viongozi ni wajinga sana , wankoka moto, halafu wanaukalia?
Ujinga is not forever!
 
Kufanana herufi ndiyo hitimisho?
😂😂😂😂Kama n mfuatiliaji mzuri wa iyo vita ulaya walianza kupiga marufuku ya erufi Z kwenye maandishi kabla hata hawajaanza kutumia marufuku hiyo mrusi akayaandika magari yake alfabet zote.

Yakawa yanasomeka ABCDEFG...kwamba pigeni marufuku mfumo mzima wa mawadiliano muwasiliane kwa ishara kama n rahisi😂😂😂😂.
 
#HABARI: Rais wa Kenya William Ruto amelivunja baraza lake la Mawaziri, huku waliosalia katika baraza hilo ni Naibu Rais Rigathi Gachagua na Waziri mwenye mamlaka makuu, Musalia Mudavadi.

Katika Hotuba yake kwa taifa, Rais, Ruto amesema amechukua hatua hiyo kufuatia maandamano ya kitaifa dhidi ya utawala wake yaliyopelekea kufutuliwa mbali kwa mswaada wa fedha wa mwaka wa 2024.

KUNA HAJA YA KUPEKUA TENA?😁🇹🇿🙏
 
View attachment 3036425
Msemaji wa serikali ya Kenya anasema kitu kama kile kile kuwa kuna usaidizi unao toka nje ya nchi kusupport maandamano " sasa hapo amekomea kusema usaidizi wa nchi za nje hajasema ni nchi gani.

AGENDA NAMBA 260B
Hivi unajua haya maandamano ya kenya aliyepo nyuma ya pazia ni Putin rejea,
unatambua pindi Putin ameanza kuivamia Ukraine alikuwa na magari na vifaa vimepigwa chapa gani? magari yalikuwa na chata imeandikwa "Z". Z ni alama ya kivita ya kijasusi ya Urusi ambapo sina mdaa wakuelezea sana hapa leo.

Njoo kenya niambia kundi ambalo linaleta vuguvugu hizi linajiitaje ??
Jibu utapata ni "GenZ" yani wanafupisha kwa neno la "Generation Z" so chukua Z ya Urusi + Gen Z ya vijana wa Kenya hapo nyuma kajificha mtu mmoja anaitwa Mrusi na ipo hivi...

Putin ameanzisha program kubwa Afrika kuanza kuwasambaratisha Mmarekani na Mfaransa ndio sababu maeneo yote kuna base za Kifaransa na wamarekani kuna waka moto au kuna mapinduzi na ukifatilia mwisho wanakuwa funded by mrusi mwenyewe.

Sasa William Ruto,kaisha ifanya kenya ni mdoli wa Wazungu na kiherere wa kuongea sana kama kuingilia diplomasia za Urusi juzi alikuwa anamsema Putin ache vita, sasa kumbe yeye anasema hayo Putin kaisha anda vuguvugu la kumpinduia inshort William Ruto ameponea chai na maandazi sababu program hii inawezekana kuja kurudiwa tena mwezi wa 12 kabla ya kuingia January maombi kwake.
Wewe ni muongo!
Anguka nayo!
 
Back
Top Bottom