Wazee wa Kenyan News and Politics: Happy End/Beginning (2020/2021) of the Year Festival

eliakeem

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2009
Posts
17,214
Reaction score
15,853
Bila shaka tumekuwa na kipindi kizuri cha takribani siku 360. Tumekuwa na tumepitia changamoto nyingi, lakini tunamshukuru Mwenyezi Mungu mwenye rehema kwa kutuweka tukiwa salama.

Nichukue fursa hii kuwatakia mapumziko mema ya mwisho na mwanzo wa mwaka.
 
Shukrani, nanyi pia tunawatakia sikukuu njema, mfunge mwaka vyema na kuanza mwaka ujao vizuri, aisei siku zinakwenda kwa kasi, uzee unapiga hodi.

Kila kukicha uhenga unapiga hodi. Ukikuta unaonana na kijana au binti ambaye ni mkubwa, anakupa SHIKAMOO. Ujue umri umekutupa mkono.
🤣😂😁
 
[emoji1787][emoji23][emoji16]
Hawa hawanaga shikamoo.
 
Shukrani, nanyi pia tunawatakia sikukuu njema, mfunge mwaka vyema na kuanza mwaka ujao vizuri, aisei siku zinakwenda kwa kasi, uzee unapiga hodi.
Mvi zikianza tu,ujue ndio uzee tayari.heri mwaka mpya
 
🤣😂😁
nimecheka balaa.
Kuna moja zamani tulikuwa tunaita kanta.
Dah,Ila mvi mzee unazingua balaa, yaani ni ngumu ku approach demu, yaani akiuona tu,anakupa bonge la shikamoo mpaka maini yanakata mzuka,alafu Sasa utaachankujiachia kwa mambo flani ulipokuwa unayafanya hapo kabla,dah! Ila tukubaliane tu na Hali mzee.
 
Duu mimi nikitaka kujimix na vijana mara utasikia SHIKAMOO.
 
Back
Top Bottom