Hypersonic WMD
JF-Expert Member
- Apr 11, 2024
- 1,337
- 1,876
- Thread starter
-
- #41
uhayani na uchagani umeishi kakaWatu wanashindwa kuelewa kati ya umoja na ubaguzi, kiuhalisia binadam huwa ana asili ya ubaguzi sasa hawa wenzetu ubaguzi umewazidi wakiwa wenyewe kwenye nchi yao wanakosa wakumbagua hivyo inawabidi wabaguane wao kwa wao ili nafsi zao ziridhike, ila wakiwa nje ya kwao wanaungana ili kuwabagua wenyeji hii ni tabia mbaya sana ashukuriwe Mwl. Nyerere hii roho huku kwetu aliiondoa yaani Tz unaweza ishi na mtu kutoka kabila lolote au pande zozote za nchi bila hata kujua kabila lake na mkawa mnapiga story na mitikasi mingine kama kawaida.
Akili ziko mak*lioni au?, kwanza kabisa mpumbavu ni ww mwenyewe ...umeelewa ninachokiongelea?, umefikiri Kwa kina nilichokiandika?, kwani umekunywa au? Na je umoja ninaozungumzia hapa umeuelewa?, kuhusu machafuko huko somalia sio ishu, ni suala la tamaa za kidola ambapo hata mataifa yaliyoendelea Hilo lipo Kwa version tofauti, asilimia kubwa ya raia wa kisomali hawapendezwi na Hali hiyo bali wajinga(wenye Tamaa, wabaguzi, egoist) wachache ndio wanaosababisha hayo machafuko.Wana umoja lakin wameshindwa kuishi pamoja nchini mwao
Nadhan huelewi unachosema ww
Kabila moja
dini moja
lugha moja
Na bado wameshindwa kuishi pamoja kwene nchi yao! Hapakaliki
Ebu peleka huu upumbavu kwa asiyewajua wasomali
Jibu swali umesikia wapi? Acha kuzungukasasa kama hufuatilii utasikiaje
we ni sikilize mm maana huko dunianian umeshindwa kusikia
Umesahau kuwa East Africa community inaenda kuwa moja. Na kwa taarifa yako wasomali wamebust sana uchumi wa Kenya ukiachilia ugaid wao.wasomali wamejipanga Kufikia 2050 kenya itakua somalia au itaongozwa na wasomali kwene kila nyanja.
Na itadi yao inaongezeka.
Wana kauli yao ya kusema:
“Nyie kazaneni na siasa sisi tunakazana kitandani”
Asante kwa mbinu zao za kuzaliana naona zina leta matunda.
View attachment 3100438
Wakikuyu wanamiliki kingereza na makalio tuKisha wakishafanya hayo yote wataijenga Kenya Wala sio somali
Watazaana na kulipa Kodi kwa mkikuyu
Safi sana, Kenya si wamejidai ujanja kuinyakuwa Garisa kutoka Somalia.Wasomali wamejipanga Kufikia 2050 kenya itakua somalia au itaongozwa na wasomali kwene kila nyanja.
Na itadi yao inaongezeka. Wana kauli yao ya kusema: “Nyie kazaneni na siasa sisi tunakazana kitandani”
Asante kwa mbinu zao za kuzaliana naona zina leta matunda.
View attachment 3100438
Halafu wakishazaliana?Safi sana, Kenya si wamejidai ujanja kuinyakuwa Garisa kutoka Somalia.
Inabidi Wazanzibari wafanye hivyo huku Tanganyika. Wazaliane kama pimbi.
na ulevi wa pombe na ushogaWakikuyu wanamiliki kingereza na makalio tu
ndio nnDaaaa Penba Republic
Kwann wasibust kwao kuwa na vigorofa kadhaa ndo kubust uchumiUmesahau kuwa East Africa community inaenda kuwa moja. Na kwa taarifa yako wasomali wamebust sana uchumi wa Kenya ukiachilia ugaid wao.
ulizaJibu swali umesikia wapi? Acha kuzunguka
Walisema hivyo au hayo ni mawazo yako?Wakishakua wengi ndo inawawezesha kuchukua serikali
si unaelewa democrasia majority rule majority vote.
hapo wakikuyu watalipa kodi kwa msomali
Kadili ya magazeti ya kenya ya kiintelligenciaWalisema hivyo au hayo ni mawazo yako?
OkayKadili ya magazeti ya kenya ya kiintelligencia
Ukabila utawaua nyie mbuzi.Wasomali wamejipanga Kufikia 2050 kenya itakua somalia au itaongozwa na wasomali kwene kila nyanja.
Na itadi yao inaongezeka. Wana kauli yao ya kusema: “Nyie kazaneni na siasa sisi tunakazana kitandani”
Asante kwa mbinu zao za kuzaliana naona zina leta matunda.
View attachment 3100438
Hakuna kitu kama hicho, jamii zote za africa ni wahamiaji. Hata wakikuyu na walyuha ni wageni, sema wao walikuja kwa wingi.Not with hayo makabila yakiwa juu, hayo makabila mawili ndio native kenyans, by 2050 kikuyu ,lunya,kalenjin bado wataendelea kuwepo so it wont be that simples
mbuzi ganUkabila utawaua nyie mbuzi.
Ruto ni kalenjinHakuna kitu kama hicho, jamii zote za africa ni wahamiaji. Hata wakikuyu na walyuha ni wageni, sema wao walikuja kwa wingi.
Kwani Ruto kabila gani?
😎Okay