Hypersonic WMD
JF-Expert Member
- Apr 11, 2024
- 1,337
- 1,876
- Thread starter
- #41
uhayani na uchagani umeishi kakaWatu wanashindwa kuelewa kati ya umoja na ubaguzi, kiuhalisia binadam huwa ana asili ya ubaguzi sasa hawa wenzetu ubaguzi umewazidi wakiwa wenyewe kwenye nchi yao wanakosa wakumbagua hivyo inawabidi wabaguane wao kwa wao ili nafsi zao ziridhike, ila wakiwa nje ya kwao wanaungana ili kuwabagua wenyeji hii ni tabia mbaya sana ashukuriwe Mwl. Nyerere hii roho huku kwetu aliiondoa yaani Tz unaweza ishi na mtu kutoka kabila lolote au pande zozote za nchi bila hata kujua kabila lake na mkawa mnapiga story na mitikasi mingine kama kawaida.