NINACHOMPEDA SANA YESU NI KWAMBA YOOTE HAYA ALISHA YAONYA MIAKA 2000 ILIYOPITA.


Jihadharini na manabii wa uongo, watu wanaowajia wamevaa mavazi ya kondoo, walakini kwa ndani ni mbwa-mwitu wakali.

Mathayo 7:15

24 Kwa maana watatokea makristo wa uongo, na manabii wa uongo, nao watatoa ishara kubwa na maajabu; wapate kuwapoteza, kama yamkini, hata walio wateule.
Tazama, nimekwisha kuwaonya mbele.

Mathayo 24:25

YOHANA AKAJA KUKAZIA KABISA.

Wapenzi, msiiamini kila roho, bali zijaribuni hizo roho, kwamba zimetokana na Mungu; kwa sababu manabii wa uongo wengi wametokea duniani.

1 Yohana 4:1


UNATAKA MTU AWAONYE KIASI GANI?????????????
 
HAO sio wakristo hawana kristo ndani Yao.

Kristo hakuacha Mafundisho kama hayo.

KAMA HUFUATI MAFUNDISHO YA YESU KRISTO HUWEZI KUWA MKRISTO.

HAO WANA IMANI YAO TIFAUTI KABISA NA KRISTO.
 
Hata mimi , Mwakasege hua nikipata muda namfatilia
 
Hapo hujui unalouliza!!!
 
Ipo siku kuna mchungaji atawainamisha waumini wake awapige mijegeje na watakubali
 
Hapa nadhani wanasingizia huyo mchungaji! Hii ni njaa inaua watu!
 
Hakuna Muislam anakula nguruwe, acha kujipa Matumaini na UPUMBAVU wenu
 
Watu hawaelewi kabisaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…