CAPO DELGADO
JF-Expert Member
- Aug 31, 2020
- 8,542
- 18,340
NINACHOMPEDA SANA YESU NI KWAMBA YOOTE HAYA ALISHA YAONYA MIAKA 2000 ILIYOPITA.
Jihadharini na manabii wa uongo, watu wanaowajia wamevaa mavazi ya kondoo, walakini kwa ndani ni mbwa-mwitu wakali.
Mathayo 7:15
24 Kwa maana watatokea makristo wa uongo, na manabii wa uongo, nao watatoa ishara kubwa na maajabu; wapate kuwapoteza, kama yamkini, hata walio wateule.
Tazama, nimekwisha kuwaonya mbele.
Mathayo 24:25
YOHANA AKAJA KUKAZIA KABISA.
Wapenzi, msiiamini kila roho, bali zijaribuni hizo roho, kwamba zimetokana na Mungu; kwa sababu manabii wa uongo wengi wametokea duniani.
1 Yohana 4:1
UNATAKA MTU AWAONYE KIASI GANI?????????????