Naomba mnipe update hii port ya Lamu itakuwa na capacity ya tani ngapi kwa mwaka? Mombasa ilihandle tons 30 million mwaka jana vs Dar tani 17 million . sasa na hii ya Lamu tena majirani mumefunkka. Kumbukeni kununua mahindi yetu tukuze usugu wetu wa damu. Ref Kabudi na rais SSH walipokuja kwenu .Tunategemeana tusishindane , vinginevyo hakuna mshindi , na sisi bidhaa zenu tunazipenda ukiacha siasa mufilisi za baadhi ya viongozi.