Today is the big day, Lamu port inazinduliwa. Wadau kaeni mkao wa kula

Today is the big day, Lamu port inazinduliwa. Wadau kaeni mkao wa kula

Naomba mnipe update hii port ya Lamu itakuwa na capacity ya tani ngapi kwa mwaka? Mombasa ilihandle tons 30 million mwaka jana vs Dar tani 17 million . sasa na hii ya Lamu tena majirani mumefunkka. Kumbukeni kununua mahindi yetu tukuze usugu wetu wa damu. Ref Kabudi na rais SSH walipokuja kwenu .Tunategemeana tusishindane , vinginevyo hakuna mshindi , na sisi bidhaa zenu tunazipenda ukiacha siasa mufilisi za baadhi ya viongozi.
Hizi berths tatu zina capacity ya 1.2 million TEUs p.a at maximum capacity. Hio ni more than 24 million tonnes p.a.
 
Back
Top Bottom