SI KWELI TANESCO wameshindwa kesi Marekani na wametakiwa kutoa bilioni 320 kwa IPTL

SI KWELI TANESCO wameshindwa kesi Marekani na wametakiwa kutoa bilioni 320 kwa IPTL

Baada ya kuitathmini taarifa hii, tumebaini kuwa si ya kweli.
Source #1
View Source #1
Source #2
View Source #2
<div class="bbWrapper"></div>
 
Tunachokijua
JamiiForums imepitia vyanzo mbalimbali na kubaini kuwa Taarifa hii imeibuliwa na ukurasa wa X (Zamani Twitter) ya Tanzania Abroad TV na kisha kuletwa na kuanza kusambaa kwenye mitandao mingine ya kijamii.

Je, ni kweli TANESCO wameshindwa kesi na wametozwa bilioni

JamiiForums imepitia vyanzo mbalimbali na kubaini kuwa taarifa hii ni ya kweli lakini ilikuwa ni ya Septemba 19, 2016 ambapo ilitokana imetokana na uzi ulioletwa na Mwanachama wa JamiiForums aliyeitwa Jerrytz. Tazama picha hapa chini:

1692214044004-png.2719318

Sehemu ya andiko lililoletwa na Jerrytz Septemba 19, 2016​

Aidha, JamiiForums imebaini kuwa ukurasa wa X (Zamani Twitter) ya Tanzania Abroad TV umeichukua mada hiyo ya Septemba 19, 2016 na kuifanya kama imetokea Agosti 16, 2023.

Zaidi ya hayo, taarifa hizi hazipatikani katika kurasa zote rasmi za TANESCO.

Hivyo, kutokana na vyanzo hivi, hoja inayodai TANESCO imeshindwa kesi siku za karibuni haina ukweli.
Back
Top Bottom