Kenya 2022 Raila Odinga: King'ang'anizi katika kuutaka urais wa Kenya, uchaguzi huu anagombea kwa mara ya tano (5)

Kenya 2022 Raila Odinga: King'ang'anizi katika kuutaka urais wa Kenya, uchaguzi huu anagombea kwa mara ya tano (5)

Kenya 2022 General Election
Hapo ndipo wanapofeli wakenya kwenye suala la ukabila!! Kwani rais wa kabila lako akiwa rais atakupa pesa za bure? je atakupa kiwanja cha kujenga nyumba? je atalipa karo au ada ya shule ya watoto wako? Ukweli ni kwamba hakuna faida yoyote ya binafsi unayoipata!! Achaneni na ukabila.
Ndiyo ndo siasa zao zilivyo kazi zote nyeti Raisi anawape tribesmen wake, lakini lazima wawe na qualification sahihi, na kweli wajaluo wamesoma wengi wa fit civil service, akipita wata faidika sana
 
Hapo ndipo wanapofeli wakenya kwenye suala la ukabila!!
Bahati mbaya sana hata sisi ndiko tunakoelekea!
Wanasiasa wetu ambao wengi wao wamefilisika wanatumia sana hii silaha ya ukabila, ukanda na udini kufanikiwa kisiasa.

Tukiendelea hivi kizazi kijacho kitapata wakati mgumu sana kuliko hata huko Kenya.
Ukweli mchungu!!
 
Hapa bongo tunanyemelewa na udini hasa!! Siku nhizi kila wakati rais akitangaza uteuzi watu wanakimbilia kuona ni wangapi wa jumapili na wangapi nwa ijumaa!! Huu ugonjwa ni mbaya sana!! Ninaamini kabisa hata rais mwenyewe anapata muda mgumu sana anapofanya maamuzi ya uteuzi!! Analazimika kujitahidi kubalance hizi imani mbili kitu ambacho kinapunguza ufanisi!!
 
Linganisha mafanikio ya lowasa na raila then urudi hapa.
Raila ameipambania mno Kenya toka enzi za kiongozi dhalimu moi.
Pia kwenye kigezo cha umri marais wa Kenya walipopata uongozi iko hivi:

1.Kenyatta senior-77yrs
2. Moi-54yrs
3. Kibaki- 77yrs
4. Kenyatta junior- 54yrs
5. Raila- 77yrs.
NB: Raila is the 5th
 
sasa ndio anakuwa rais like or not, waizi walimwibia sana, pumbafu kabisa, kule TZ Kikwete ali mwimbia sana Lowassa masaai
 
Kwa Afrika ni kawaida sana kwa watu kugombea urais mara nyingi kwani chaguzi zetu bado sana hazijafikia viwango vya kimataifa.

Sasa mfano, katika nchi kama Tanzania uchaguzi huandaliwa na kusimamiwa na chama cha ccm ambacho pia huwa kinagombea sasa hapo mnategemea nini ktk uchaguzi kama huo, si ni uhuni mtupu.

Buhari kule Nigeria aligombea wee mara ya tano ndipo akapata urais, Michael Sata kule Zambia mara 5, Nana Akuffo Addo kule Ghana mara 4 na Hakainde Hichilema kule Zambia mara 6, kwa hiyo hamna kitu kigeni hapo.
 
Hapo ndipo wanapofeli wakenya kwenye suala la ukabila!! Kwani rais wa kabila lako akiwa rais atakupa pesa za bure? je atakupa kiwanja cha kujenga nyumba? je atalipa karo au ada ya shule ya watoto wako? Ukweli ni kwamba hakuna faida yoyote ya binafsi unayoipata!! Achaneni na ukabila.
Kweli yaani
 
Raila Odinga alijiapiza kuwa lazima awe rais wa kenya kabla hajafa!! Leo anagombea kwa mara ya tano akiwa na miaka 77. Na jamaa huyu hujaribu bahati yake kupitia vyama mbali mbali, na mwaka huu anagombea kupitia umoja wa vyama uitwao AZIMIA LA UMOJA.

Swali, je akiangukia pua mwaka huu ataweza kugombea tena huo mwaka 2027 atakapokuwa na miaka 82 au ndo itabidi akubali matokeo ya kufa bila kutimiza ndoto na apio lake?

Kumbe Mzee bado ni mdogo sana, ana miaka 68 tu ukilinganisha na 77 ya Raila Odinga. Tumtie moyo Lowasa kugombea tena 2025, na 2030. Huo mwaka 2030 Lowasa atakuwa na miaka 76 tu na atakuwa anagombea kwa mara ya tatu tu!

=====

Raila again, a fifth time: A look into his 4 previous attempts at presidency.​

Raila Odinga has run for presidency four times: in 1997, 2007, 2013 and 2017.

View attachment 2318905
Safari hii anashinda una lingine!!??
 
Hawa wazee walioishi kizuizini maranyingi wajanja wanakuaga wachache Mandela pekeake aliweza nusu muhula akacha

Uwaziri mkuu hakuuamini
 
Inavyoelekea mzee mzima kupigwa mweleka na kijana!! ngoja tuone lakini hadi sasa approximately Ruto 51% Vs Odinga 49%.
 
Gap linazidi kuongezeka approximately Ruto 51% Vs Raila 47%. Mzee mzima anaelekea kupigwa mweleka!!
 
Raila Odinga alijiapiza kuwa lazima awe rais wa kenya kabla hajafa!! Leo anagombea kwa mara ya tano akiwa na miaka 77. Na jamaa huyu hujaribu bahati yake kupitia vyama mbali mbali, na mwaka huu anagombea kupitia umoja wa vyama uitwao AZIMIA LA UMOJA.

Swali, je akiangukia pua mwaka huu ataweza kugombea tena huo mwaka 2027 atakapokuwa na miaka 82 au ndo itabidi akubali matokeo ya kufa bila kutimiza ndoto na apio lake?

Kumbe Mzee bado ni mdogo sana, ana miaka 68 tu ukilinganisha na 77 ya Raila Odinga. Tumtie moyo Lowasa kugombea tena 2025, na 2030. Huo mwaka 2030 Lowasa atakuwa na miaka 76 tu na atakuwa anagombea kwa mara ya tatu tu!

=====

Raila again, a fifth time: A look into his 4 previous attempts at presidency.​

Raila Odinga has run for presidency four times: in 1997, 2007, 2013 and 2017.

View attachment 2318905
Sasa atashinda
 
Kufikia muda huu saa NNE NA DAKIKA 12 Kuna kila dalili kuwa Raila Odinga ataibuka kidedea (mshindi) kwenye huu uchaguzi baada ya kura takriba milioni 9 kuhesabiwa!
 
Wakenya wataamua kama wanaamini kuwa ya kale ni dhahabu au kizazi kipya ndio suluhisho la changamoto za sasa! Wakati Raila Odinga ana miaka 77, William Ruto ana miaka 55 (Kikwete aligombea akiwa na miaka 55 akashinda!!). Mkapa alipata urais akiwa na miaka 57. Inaelekea umri mzuri wa kuweza kufanikiwa kuwa rais ni umri wa miaka 55-60. Zaidi ya hapo kwa waafrika akili inakuwa imechoka sana!! Ila jibu la mwisho wanalo wakenya!

Sio wapiga kura ndio uamua nani awe Raisi.Ingekuwa hivyo upinzani wangekuwa wanashinda KILA siku.
 
Back
Top Bottom