Obama : Kenyatta ndio kiongozi pekee na uwezo kuunganisha Afrika nzima

Though I doubt the report, but it's a known truth that Uhuru is a go-getter. The guy got into office within one year and EAC is becoming a reality.
 
Siasa ni usaniii sana

Obama anajaribu kulinda military bases zake Kenya
 
'can' = 'be able'... mutually exlusive in a sentence.....form five HGL yawn........
 
kenyata ni mwanadiplomasia kijana ni intelectual sana huyu jamaa, obama may be write. alikuwa smart kwenye uchaguzi mara miamoja ya mzee odinga
 
Nonsense
Viongozi wengi wa Africa walimtetea Kenyatta sababu wanajua nao ni ICC materials
 
The saying goes..."if you can't beat them join them"
 
Hii nukuu ni inadhihirisha hiyo habari ni feki.



Eti source ni secret annual journal.....hahahaaaaa. Ila kwa vile Miafrika mingi ni mijinga, basi hata kujisumbua kusoma kwa kutumia jicho la tatu haitajisumbua.

Khaaaaaa ndo uwaite watu wajinga?
 
Nonsense
Viongozi wengi wa Africa walimtetea Kenyatta sababu wanajua nao ni ICC materials

He he he,,,na sasa,,,hio kiesi ya ICC,,,imefika wapi?????

Haujamsikia ule shahidi,,,aliyekubaliana na wakili wa Ruto,,
bw Khan,,,kwamba aliwahi kupokea pesa,,in dollars,,ndivyo
awe shahidi.

Haya yote yalifanyika jana,,,yaani,,,yalisemwa jana na huyu
shahidi,,then i wonder if people are referring to the same,,ICC???
Very very funny moments,,,,,,,,,,,,,,,,πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚.

The Ruto case is turning to something,,more than a comedy.

I wish that you saw the look of those judges,,in that court.

It was total horror,,they could not believe,,what they were
hearing.

People,,,wake up and touch the truth,,for you cannot see,,any.

The African Union was right,,,that there was no case,,at all.

Now Obama is waking up to face the harsh reality.

He has even gone ahead to invite Uhuru Kenyatta to the US,
on August with other African leaders.

Mtavumilia tuu,,,kwani,,ni nyinyi mlio jiletea,,kwa kurukia mambo
bila kushughulika kujua kiini.


Poleni sana.:dance:

 

Lakini hiyo haiondoi ukweli kwamba Wakenya walichagua criminals!!!
 
Lakini hiyo haiondoi ukweli kwamba Wakenya walichagua criminals!!!
Jizoeshe kutumia maneno unayoyaelewa "criminals" maana yake "Someone who has committed a crime or has been legally convicted of a crime"
 
Gossip/ Kenya.....................?!
 
All African leaders supported him against the ICC simply because they are all afraid of facing the same music after their tenures.If the grouds were fair most of them were supposed to go to the ICC
 
ashajua obama one wrong move atajikaanga mwenyewe na Mafuta yake na bara na Africa itamtenga
 
Duh....msafiri alisema hao ni marafiki zake.

Mhhhhh...
 
America ambayo obama anaiwakilisha inapigania maslah yake..they neither have permanent friends nor enemies..Raila kafulia..maslahi yanaelekezwa kwa independent kenyatta..muuuaji wa watu na ana kesi the hague..the world is nt fair!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…