Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
You can never trust a politician
hata kama anaishi White House
Si ndio huyu obama aliyekuwa akiwaponda wakenya na kumsifia Raila?kweli wanadamu ni wadhaifu wote
Hii nukuu ni inadhihirisha hiyo habari ni feki.
Eti source ni secret annual journal.....hahahaaaaa. Ila kwa vile Miafrika mingi ni mijinga, basi hata kujisumbua kusoma kwa kutumia jicho la tatu haitajisumbua.
Nonsense
Viongozi wengi wa Africa walimtetea Kenyatta sababu wanajua nao ni ICC materials
He he he,,,na sasa,,,hio kiesi ya ICC,,,imefika wapi?????
Haujamsikia ule shahidi,,,aliyekubaliana na wakili wa Ruto,,
kwamba aliwahi kupewa pesa,,in dollars,,ndivyo awe shahidi.
Haya yote yalifanyika jana,,,yaani,,,just yesterday,,then i
wonder what ICC cases people are referring to,,,very
funny🙂🙂🙂.
Even the Ruto case is turning to something like a comedy.
I wish that you saw the look of those judges,,in that court.
It was total horror,,they could not believe,,what they were
hearing.
The African Union was right,,,that there was no case.
Now Obama is waking up to face the harsh reality.
He has even gone ahead to invite Uhuru Kenyatta to the US,
on August with other African leaders.
Mtavumilia tuu,,,kwani,,ni nyinyi mlio jiletea,,kwa kurukia mambo
bila kushughulika kujua kiini.
Poleni sana.:dance:
Jizoeshe kutumia maneno unayoyaelewa "criminals" maana yake "Someone who has committed a crime or has been legally convicted of a crime"Lakini hiyo haiondoi ukweli kwamba Wakenya walichagua criminals!!!
Hmmm...mbona nasita kuamini Obama kasema hayo....