Nyerere na Tanzania vinaenziwa Marekani kwa namna ya kipekee

Sijui kwanini unakuwa na mihemko ya namna hii ndugu Wyatt unaongea kitu cha uongo kwa kujiamini kabisa aisee dah..Yaani unshindwa kuelewa hata wataalamu wa lugha hawaelewi hasa asili ya kiswahili ni wapi hapo ndipo utakuta kwamba kuna kitu kinaitwa nadharia ya ukuaji wa kiswahili zipo zaidi ya nne kama ulifaulu Kiswahili O'Level utakubaliana na mimi..Kuna theory inasema kiswahili ni kicongo Baadhi ya wataalamu hudai kuwa asili ya lugha ya Kiswahili ni huko Kongo ambayo baadaye iliitwa Zaire na sasa inaitwa Jamhuri ya Demokrasia ya Kongo. Dai hili linaimarishwa na wazo lingine linalodai kwamba katika vipindi kongwe vilivyopata kuwako, sehemu za Pwani ya Afrika mashariki hazikuwa zimekaliwa na watu. Kutokana na hali ya vita, uchungaji na biashara, inadaiwa kuwa Wabantu walitoka sehemu za Kongo walisambaa na kuja pwani ya Afrika mashariki kupitia Kigoma. Baadhi ya wabantu hawa walipitia sehemu za Uganda. Wakati wa kusambaa kwao, walieneza pia lugha zao ikiwemo hii ya Kiswahili.hapohapo kuna nyingine inakwambia kiswahili,pia kuna theory inasema kiswahili ni kiarabu wengine krioli na theory zote hizo zinakubalika vizuri tu..Hakuna aliyekwambia Kiswahili kimeanzia Tanzania lakini huwezi kutaja kiswahili bila kutaja Tanzania na mwanzo nikakupa mfano wa lugha ya kiingerez sema umekaza fuvu tu kama kawaida yako
 

Kutokuwepo kwetu kwenye top ten ya dunia haiondoi uweli kwamba uchumi weti ni service based, fahamu Kenya's services sector contributes about 63% of GDP, mabenki yetu ndio yanaongoza ukanda wote huu, Kenya ndio kiongozi kwenye ICT n.k.
Mivivu mnachelewa sana na huo ujamaa wenu.
 
Uchumi wa watu wachache?
 

Kuongea lugha yako ya asili sio ukabila, fahamu maana ya ukabila ni pale unawabagua watu wasio wa kabila lako.
Haijengi maana nimetembelewa kwangu na bibi au babu au mtu yeyote aliyetokea kwetu kijijini halafu ning'ang'anie kuongea nao Kiswahili.
Ni muhimu sana kujivunia tofauti zetu kwenye mila na tamaduni na lugha zetu ila bila kubaguana, mimi hapa nimejifunza lugha nyingi sana za asili na nazipenda sana.
Matatizo ni pale unambagua mtu kisa sio wa kabila lako, ila kama wewe mbaguzi au una asilia ya kibaguzi, utabagua tu aidha kwa udini, ukanda au hata uchama, kwa mfano hapo Tanzania mna Uchama na pia kipindi cha awamu ya tano mlikua na ukanda sana, na mpaka leo huo ukanda unaendelea kuwatesa, makundi yanayojiita Sukuma gang yanamzingua mama sana.
 
Mpaka leo Tanzania inalisha huu ukanda wote hiyo yote ni legacy ya ujamaa lakini jamaa anasema ujamaa ulitufanya wavivu (meanwhile wanakufa njaa na 80% tegemezi kwa Tanzania produces) πŸ˜‚πŸ˜‚
Uvivu ni code name ya wakenya wakimaanisha kutokuwa mwizi mwizi, tapeli na mbabaishaji.
 
Ukweli ni kwamba tabia yenu ya kung'ang'ania lugha zenu za asili ndio sababu kubwa ya ukabila wenu, pindi mkiachana na lugha zenu za asili ndio ukabila utapungua huko Kenya, hakuna nchi yoyote Ile duniani ambaye imefanikiwa kufuta ukabila bila kuachana na lugha za asili, toa mfano wa nchi yoyote ambayo wanaishi bila ukabila huku wakikumbatia lugha za asili, lazima mkubali kujifunza toka Tanzania japo mnajisikia vibaya kutokana na wivu na chuki lakini ukabila ni mbaya zaidi kuliko wivu.
 
Hayo mataifa yapo juu kwenye service economy kutokana na companies kubwa kama Facebook, Instagram, ups, FedEx, airlines, Healthcare, Banking, Shelter, legal services, hospitality and tourism etc

Service sector contributions kwenye GDP haimaanishi service economy sababu hata Tanzania toka miaka ya Nyerere ina contributions kubwa kutoka kwenye service sector kwenye GDP lakini haimaanishi Tanzania tupo level ya service economy

Elimu yenu ndogo

 
Wape somo jamaa zetu wa kunyaland.. hawaamini watasema ni wao ndio walitunga hayo maneno, Tanzania haiwezi sahaulika katika historia ya Ukombozi wa Africa

Sent from my M2006C3MG using JamiiForums mobile app
 
Wakiongea kuhusu service economy wanaongelea vitu kama hivi

Naelewa elimu ya Kenya ni shittiest ila Tanzania tutao msaada tu hivyo hivyo.

 

Sasa hapo ndio tofauti yetu na nyie, maana kwamba kauchumi kenu kadogo nusu ya uchumi wetu, hivyo tukisema 63% ya GDP yetu imetokana na huduma, hiyo 63% yetu sawia na zaidi ya uchumi wenu wote.
 
Wakiongea kuhusu service economy wanaongelea vitu kama hivi

Naelewa elimu ya Kenya ni shittiest ila Tanzania tutao msaada tu hivyo hivyo.

View attachment 2063546View attachment 2063547

Leo naona umeamka na minyege kuniquote mara nyingi nyingi hehehehe!!!
Huko kwa hao unaokimbilia hatupimani nao, nimeshakubali wametuzidi, ila kwa nyie wa huku mliotuzunguka ndio saizi yetu kupiga piga maana tunawapitia juu kwa juu.
 
Nyie wakenya hizo lugha za Asili zimewasaidia nin zaidi ya kukuza ubaguzi kayi yenu?.. Tanzania tuna makabila zaidi ya 120 lugha zetu tunazijua vizuri Tu lakini hutokaa usikie tunaongea hivyo kama hatupo kwenye vijiji vyetu kama ilivyo kwenu..


Sent from my M2006C3MG using JamiiForums mobile app
 
Kingine kuhusu kushuka Kwa uchumi wa Tanzania ni kutokana na kupigana vita ya Uganda na Kenya mkaongoza uchumi baada ya kugoma kutoa mgawo Sawa wa faidi baada ya kuvunjwa shirikisho la kwanza la Afrika mashariki.. tofauti na hapo Tz tulikuwa on Top kwenye uchumi East Africa

Sent from my M2006C3MG using JamiiForums mobile app
 


Aksante sana kwa shule hii.
Kwa mtu kutoka kibera, this's too much. Hawezi kuelewa kitu hapa. Yeye hapo sana sana atakutajia safaricom, ndiyo ambayo anaielewa. Hayo mengine ni kama unaongea na mbuzi.

Nadhani utakubaliana na mimi kwa aina ya majibu aliyokupa.
 

Hizo porojo za kujificha nyuma ya vita vya Kagera ndio mojawapo wa kinachowakwamisha, tizama hapa mwaka tulioanza kuwatupa kiuchumi

 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… Umemaliza

Asichojua service sector ni mpaka mishahara ya serikali kwa civil servants na Kenya almost 80% ya revenue collections zinaenda kwenye mishahara ya watumishi, anapoona piechart ipo kubwa kwenye service sector badala ya manufacturing, industry and agriculture anafikiri ni afya kiuchumi kumbe ni hatari kwa chumi zetu za ulimwengu wa tatu

Mbaya zaidi anafikiri service sector ni service economy πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
 
Leo naona umeamka na minyege kuniquote mara nyingi nyingi hehehehe!!!
Huko kwa hao unaokimbilia hatupimani nao, nimeshakubali wametuzidi, ila kwa nyie wa huku mliotuzunguka ndio saizi yetu kupiga piga maana tunawapitia juu kwa juu.
Ni 28% ya wakenya ndio wapo kwenye miji ambapo ndipo penye shughuli nyingi zinazohusu service sector, kama GDP yenu zaidi ya 78% imetokana na sector hiyo basi ukae ukijua zaidi ya 70% ya population ya Wakenya hawachangii chochote cha maana kwenye GDP

Na kwa maana hiyo zaidi ya 70% ya population ya Wakenya inachangia only 22% kwenye GDP πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Upo unakesha kusema Watanzania wavivu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…