MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
Hawa jirani zetu bwana huwa wanacheka sana wabongo wasipoongea kiingereza ila wakisikia tu kiswahili kimetajwa na bwana zao huko nje utasikia chetu hicho[emoji1787][emoji1787][emoji38][emoji38][emoji38]wanavyokigombea sasa na kuweka bendera zao utasema wanaweza hata kuongea kwa ufasaha
Inaitwa kuchangamkia fursa, ukizembea hapo kwenye shamba la bibi utaliwa kila kitu, vyuo vinavyofunza Kiswahili kule Japan, China na kote vimejaa Wakenya, maana sisi hatugandi kwenye lugha moja, unajifunza Kiswahili na kuboresha Kingereza chako pia ili fursa za dunia zisikupite....nyie hapo Kingereza chenu cha ze ze ze nani atawapa nafasi ya kuwafunza Kiswahili, maana mwisho wa siku kabla unifunze lugha yako, lazima tutafute namna ya kuwasiliana, na lugha ya dunia kwa sasa ni Kingereza.