Mbunge mmoja wa Kenya amekamatwa kufuatia matamshi aliyotoa dhidi ya Rais Uhuru Kenyatta wikendi iliyopita

Mbunge mmoja wa Kenya amekamatwa kufuatia matamshi aliyotoa dhidi ya Rais Uhuru Kenyatta wikendi iliyopita

Kenya is a confused country, hawajui wanakwenda wapi, utasikia Katiba, ikipatikana utasikia Punda amechoka, utasikia BBI.

Tangu ipatikane Katiba, bado ukabila, rushwa, nepotism, crime, hunger, unemployment ndio vinazidi kuongezeka.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Hvyo ulivyovitaja unaweza ukatuonyesha kazi ya katiba mpya na hvyo vipengele vyako km vinaendana au ni mauno tu unakata
 
Ni makaburu tu, mimi siwaonei haya hata kidogo, haiwezikani muongoze ninyi tu tangu Kenya ipate uhuru wake, na zaidi ya 60% ya nafasi zote serikalini ni wao tu.[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Kabila kuu la ccm vipi[emoji23][emoji23][emoji23]
Wanaachia lini nchi kw wanyonge
 
Mbunge mmoja wa Kenya amekamatwa kufuatia matamshi aliyotoa dhidi ya Rais Uhuru Kenyatta wikendi iliyopita, kwa mujibu wa vyombo vya habari nchini humo.

Johanna Ng’eno anatuhumiwa kwa kutumia maneno ya matusi kumdhalilisha rais, kulingana na taarifa ya gazeti la Daily Nation inayonukuu ripoti ya polisi.

Kanda ya video inayomuonesha mbunge huyo akizungumzia mgogoro kati ya rais Kenyata na naibu wake William Ruto imezua gumzo kali katika mitandao ya kijamii.

Mbunge huyo anasikika akimwambia rais avunje serikali ikiwa ameshindwa kufanya kazi na bwana Ruto.

Hali ya taharuki ilishuhudiwa wakati wa kukamatwa kwa mbunge huyo wa Emurua Dikirr, katika eneo la bonde la ufa huku tukio hilo likioneshwa moja kwa moja katika ukurasa wake wa Facebook.

Baada ya kukamatwa kwa bwana Ng'eno, naibu wa rais aliandika ujumbe katika Twitter yake akisema "viongozi wanapaswa kujizuia na kuepuka kutumia lugha ya matusi dhidi ya Wakenya wengine".

View attachment 1562755
View attachment 1562758

Sioni kibaya alichoongea
 
Back
Top Bottom