Cesar Saint
JF-Expert Member
- Nov 18, 2016
- 423
- 726
We hujui kuhusu sare zetu za polisi kwhyo kaba ndula
Kubambikiziana kesi sio ndio unasema hakuna utofautisasa hapo kuna tofauti gani na katiba ya Tanzania tukiwaweka ndani wanaotukana mnalia lia kwa niaba yao
Sasa mbona una force vitu jomba[emoji23][emoji23][emoji23]Isn’t that the reason why I asked ? There’s no shame in not knowing things but clearly you don’t have an idea on how your police force had to wear uniforms which corresponds to the ones with KDF
Lkn uzuri katika viwanja vya bunge kenya kuna cctv, hoteli zote kubwa kubwa pia zipo wala huwezi kuta wapiga picha kw angleNini mnaongoza katika political assassinations na Police Killings in Africa, vipi unasema ninataka tufanane na wauaji?
Polisi wa kenya wanaua lkn hawaui kisha wakazika watu na kuficha makaburi, tatizo mbunge fulani aliposema mkambambikizia kesiHivi hadi sasa POLISI ya Kenya ineshaua raia wangapi kwasababu ya Curfew?, Kenya police tops Africa on Killings
Sasa mbona una force vitu jomba[emoji23][emoji23][emoji23]
Police hku pia wana combat zao, kumbe hata hujui
Bado hazizuii polisi wenu kuwapiga risasi na kuwaua kama wanyamaLkn uzuri katika viwanja vya bunge kenya kuna cctv, hoteli zote kubwa kubwa pia zipo wala huwezi kuta wapiga picha kw angle
Polisi hawazikaribii[emoji23][emoji23]Bado hazizuii polisi wenu kuwapiga risasi na kuwaua kama wanyama
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
We hujui kitu sasa utasemaje km zinafana, kweli unajielewa..Ndio maana nimekuuliza the differences na kwanini wakiamua kuvaa combat zinazofanana na KDF kwa sehemu kubwa ?
We hujui kitu sasa utasemaje km zinafana, kweli unajielewa..
Yani kwenu nguo ikiwa tayari ni ya jeshi, amkeni majamaa, mumelala sana
Sasa umekuja vizuri, Polisi huaga kuna uniform nyingi upande huu wa kwetu..Hili swali halikuwa kuhusu Tanzania lingekuwa la kuhusu Tanzania ningekuelewesha kuwa kwa sheria zetu kuvaa nguo yoyote inayofanana na TPDF ni kinyume na sheria lakini pia hakuna mwingiliano wa ufanano wa mavazi katika majeshi yetu upande wa Tanzania.
Hivyo basi nikataka kufahamu kuhusiana na upande huo wa Kenya lakini naona hauko na nia ya kufafanua wala kuelezea ulinganifu huu wa mavazi wala historia yake .
Sasa umekuja vizuri, Polisi huaga kuna uniform nyingi upande huu wa kwetu..
Kw mfano kuna no.1,2,3 na kila namba ina kazi na maana yake. Then kw sasa pia kuna ile ya blue ambayo ndio wanatakiwa wavae mijini ila ni vile mambo bado yanakwenda kw kasi ya chini sana
We kilaza usiniquote tena mimi, nenda kafie mbele km hukuelewa..Hawa wanaovaa hizi za kufanana na KDF ni kwanini?
Kenya is a confused country, hawajui wanakwenda wapi, utasikia Katiba, ikipatikana utasikia Punda amechoka, utasikia BBI.Hivi katiba mpya kazi yake ni nini? Ukiangalia kwa undani, hii katiba utafikiri inawalinda watu fulani pekee, wengine inwwatupa nje ya ulingo.
Kenya is a confused country, hawajui wanakwenda wapi, utasikia Katiba, ikipatikana utasikia Punda amechoka, utasikia BBI.
Tangu ipatikane Katiba, bado ukabila, rushwa, nepotism, crime, impunity, hunger, unemployment ndio vinazidi kuongezeka.
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Wanajua wazi kwamba tatizo la Kanya ambalo ni kiini cha matatizo mengine yote ni "Ukabila", lakini kwasababu kabila ambalo ndilo linalomiliki uchumi na Siasa za Kanya ndilo linalofaidika na ukabila, hawapotayari kupambana na ukabila, wakikubali ndio mwanzo wa anguko lao.Kwa hiyo kumbe ukiangalia kwa undani na kutafakari, tatizo la kenya siyo katiba mpya (kwa kuwa imeshindwa kuwa muarobaini wa matatizo yao ya msingi) bali ni kitu kingine ambacho hata wao wakenya hawajui namna ya kukitatua.
Wanajua wazi kwamba tatizo la Kanya ambalo ni kiini cha matatizo mengine yote ni "Ukabila", lakini kwasababu kabila ambalo ndilo linalomiliki uchumi na Siasa za Kanya ndilo linalofaidika na ukabila, hawapotayari kupambana na ukabila, wakikubali ndio mwanzo wa anguko lao.
Hii inafanana kabisa na uliokua utawala wa wazungu Africa ya kusini, walikua hawakubali kuwepo na demokrasia kwasababu walijua watapoteza umiliki wa uchimi na siasa, japo walijua kwamba ubaguzi wa rangi haufai.
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Ni makaburu tu, mimi siwaonei haya hata kidogo, haiwezikani muongoze ninyi tu tangu Kenya ipate uhuru wake, na zaidi ya 60% ya nafasi zote serikalini ni wao tu.[emoji23][emoji23][emoji23]Kwa hiyo nchini kenya, kabila la wakikuyu ndiyo makaburu weusi.
[emoji14] [emoji14] 😛