Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Update saa moja na dakika 20 usiku;
Uhuru - 366,161 57.22%
Raila - 249,744 38.92%
Tiba
Hao ushuzi wanaobishana na hiyo habari ukiwauliza saa hizi wako wapi?
Watakujibu wako Kilabuni wanaangalia FUTUHI...
Shenz type
Mkuu kuwa nasubira,Hatulingani tafakari!
Kenyata 57 odinga 29 hadi sasa kama kura 7ml zimehesabiwa
sorce-citizen live
I hope Uhuru Kenyatta will be a Winner
Sijui itakuwaje Leila Odinga kama akishindwa kuibuka mshindi,maana vurugu Kenya huwa zinaanza baada ya kutangazwa kwa matokeo,Mungu awatangulie wakenya
kenyata 57 odinga 29 hadi sasa kama kura 7ml zimehesabiwa
sorce-citizen live