March 04 2013: Kenya's historic poll - Kenya decides!

Kenyatta kampita Odinga kwa zaidi kidogo ya kura 100,000 hadi sasa
 
Update;

Uhuru - 399'617 57.22%
Raila - 272,519 38.98%

Tiba
 
Kenyata 57 odinga 29 hadi sasa kama kura 7ml zimehesabiwa
sorce-citizen live
 
Kenyata 57 odinga 29 hadi sasa kama kura 7ml zimehesabiwa
sorce-citizen live

Hapo umenena mkuu maana hata kura 3 unaweza kupata %, Je inatarajiwa watu wangapi watapiga kura?
 
I hope Uhuru Kenyatta will be a Winner
Sijui itakuwaje Leila Odinga kama akishindwa kuibuka mshindi,maana vurugu Kenya huwa zinaanza baada ya kutangazwa kwa matokeo,Mungu awatangulie wakenya


Hah hah hah haaah eti Leila
 
UHURUTO azidi kumuacha Raila hadi sasa matokeo ya awali Uhuru ana asilimia 57 na Raila 38%
 
Update;

Uhuru - 422,366 - 57.51%
Raila - 283,978 - 38.71%

Tiba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…