Majirani, je kwa bei hizi mpya za internet, TZ bado tuna nafuu au tumekuwa de-throned

Majirani, je kwa bei hizi mpya za internet, TZ bado tuna nafuu au tumekuwa de-throned

Hamna kitu huniboa kama slow internet ya Tanzania, kule yaani hata kufanyia kazi huko ni mateso, Voda tu ndio nilikua naona wana kaunafuu sema na wao hawajafikia viwango vya Kikenya.
Sometimes cheap is very very expensive.
My thoughts too
 
Huenda ulikuwa eneo ambalo halina network, kuna maeneo mengine network ya mitandao flani ipo ila mitandao mingine ni weak, jumla kuna mitandao 7 huku.

Hizo standard za kikenya ni zp 😂😂 nadhani nishajua ni kabila gani unatokea huko kenya, full ego mode,
 
Voda gb 10 bundle la wiki unatumia siku 3 au 4 imeisha,hapo ujaangalia youtube,netflix au video yoyote online ba hata ujadownload chochote gb 10 inaisha siku 4 kwa kuchat tu!bongo watu wanaibiwa sana!
okay, kwa hiyo kifurushi kina expire ndani ya siku 3
je, ukijaribu kuzitumia na kuzimaliza kabla ya siku tatu unapata GB 10 ?????
 
Screenshot_20211024-215320.png

Hii ndivyo bei za vifurushi vya Safaricom. Hata mimi niliporudi nyumbani mwezi mmoja uliopita nilishangaa sana!

Kibongobongo, zidisha hizo bei na 20/= utapata bei ya Tzs.

Screenshot_20211024-215342.png
 
Back
Top Bottom