Majirani, je kwa bei hizi mpya za internet, TZ bado tuna nafuu au tumekuwa de-throned

sky soldier

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
5,407
Reaction score
19,264
Leo hii huku tz mtandao cheap wa internet kwa jina la Halotel, wameamua kupandisha gharama sasa nikawa najiuliza, is tz still the cheapest in mobile internet??

Zifuatazo ni bei

Kwa sasa average price ya gb ni kama 1350 tzs / 65.2 kes

rate ( 1 kes = 20.7 Tzs)
1634660703662.png

Huko kwenu majirani hali ikoje??
 
View attachment 1979884

Huko kwenu majirani hali ikoje??
Nikweli bei imepanda hadi mara2 hadi mara 5 mfano bando ta usiku la sh 1500 lilikuwa MB5000 sasa hivi ilo bando unapewa MB1300
 
30 days kwa Tanzania ni sawa na 15 days!

7 days ni sawa na 3 days wether you like it or not! Kwa sasa wamejiongeza yani ukiunga cha week ikifika kesho baada ya muda tu uliojiunga kinakata na kukwambia umebakiwa na 15MB za matumizi kisha wanakukatia huduma after 15mns za matumizi!
 
Hatuzingumzii fiber internet mkuu, tunazungumzia internet za mitandao ya simu
Yes, other networks ni cheaper Safaricom tu ndo expensive.
According to your rates such as 1ksh = 20tzs
Kenya ukiwa na ksh 100 unapata

Faiba - 2GB
Airtel - 2GB
Telkom - 2GB
Halotel - 1.2GB
Safaricom - 1 GBl
Daily bundles in Kenya are cheaper.

Weekly Bundles ukiwa na Ksh 500
Faiba = 15GB
Halotel = 7.2GB
Airtel = 6GB
Telkom = 5GB

Monthly Bundles ukiwa na Ksh 2000 unapata.
Faiba - 40GB
Halotel - 22GB
Airtel - 20GB
Telkom - 20GB

Faiba is way cheaper than any network in TZ, Airtel na Telkom wakona almost the same rates na Halotel, difference ni kidogo sana.
 
30 days kwa Tanzania ni sawa na 15 days!

7 days ni sawa na 3 days wether you like it or not! Kwa sasa wamejiongeza yani ukiunga cha week ikifika kesho baada ya muda tu uliojiunga kinakata na kukwambia umebakiwa na 15MB za matumizi kisha wanakukatia huduma after 15mns za matumizi!
mara cha wiki wanakupa siku tatu, mara kinakata kesho yake, hueleweki!
 
Nikweli bei imepanda hadi mara2 hadi mara 5 mfano bando ta usiku la sh 1500 lilikuwa MB5000 sasa hivi ilo bando unapewa MB1300

Mb 1300 unafanyia nini hata windows update humalizi aisee
 
Hamna kitu huniboa kama slow internet ya Tanzania, kule yaani hata kufanyia kazi huko ni mateso, Voda tu ndio nilikua naona wana kaunafuu sema na wao hawajafikia viwango vya Kikenya.
Sometimes cheap is very very expensive.
 
30 days kwa Tanzania ni sawa na 15 days!

7 days ni sawa na 3 days wether you like it or not! Kwa sasa wamejiongeza yani ukiunga cha week ikifika kesho baada ya muda tu uliojiunga kinakata na kukwambia umebakiwa na 15MB za matumizi kisha wanakukatia huduma after 15mns za matumizi!
Hivi kuna vifurushi vya kujimwambify na netflix kweli huko?
 
mara cha wiki wanakupa siku tatu, mara kinakata kesho yake, hueleweki!
Voda gb 10 bundle la wiki unatumia siku 3 au 4 imeisha,hapo ujaangalia youtube,netflix au video yoyote online ba hata ujadownload chochote gb 10 inaisha siku 4 kwa kuchat tu!bongo watu wanaibiwa sana!
 
Back
Top Bottom