sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Naona gap linazidi kupungua kwa kasi ya ajabu
Nikweli bei imepanda hadi mara2 hadi mara 5 mfano bando ta usiku la sh 1500 lilikuwa MB5000 sasa hivi ilo bando unapewa MB1300Leo hii huku tz mtandao cheap wa internet kwa jina la Halotel, wameamua kupandisha gharama sasa nikawa najiuliza, is tz still the cheapest in mobile internet??
Zifuatazo ni bei
Kwa sasa average price ya gb ni kama 1350 tzs / 65.2 kes
rate ( 1 kes = 20.7 Tzs)
View attachment 1979884
Huko kwenu majirani hali ikoje??
hizi ni rates za kitambo sana buda
30 days kwa Tanzania ni sawa na 15 days!Leo hii huku tz mtandao cheap wa internet kwa jina la Halotel, wameamua kupandisha gharama sasa nikawa najiuliza, is tz still the cheapest in mobile internet??
Zifuatazo ni bei
Kwa sasa average price ya gb ni kama 1350 tzs / 65.2 kes
rate ( 1 kes = 20.7 Tzs)
View attachment 1979884
Huko kwenu majirani hali ikoje??
Yes hizi ni rates za 2020hizi ni rates za kitambo sana buda
Gap gani tena? 😁😁 Our bundles are cheaper and more. Safaricom tu ndo wakona expensive bundles though bei yao za broadband ni cheaper.Naona gap linazidi kupungua kwa kasi ya ajabu
Hatuzingumzii fiber internet mkuu, tunazungumzia internet za mitandao ya simuGap gani tena? 😁😁 Our bundles are cheaper and more. Safaricom tu ndo wakona expensive bundles though bei yao za broadband ni cheaper.
View attachment 1980643
Yes, other networks ni cheaper Safaricom tu ndo expensive.Hatuzingumzii fiber internet mkuu, tunazungumzia internet za mitandao ya simu
GB720??Naona Tigo na Airtel wamerudi kulekule nilikowakimbia, eti 1500 napewa dk 150 sms10 na GB720 busterd
mara cha wiki wanakupa siku tatu, mara kinakata kesho yake, hueleweki!30 days kwa Tanzania ni sawa na 15 days!
7 days ni sawa na 3 days wether you like it or not! Kwa sasa wamejiongeza yani ukiunga cha week ikifika kesho baada ya muda tu uliojiunga kinakata na kukwambia umebakiwa na 15MB za matumizi kisha wanakukatia huduma after 15mns za matumizi!
Nilikosea mb720
Wahuni sana yani sema TCRA ni simba aliyeloa! Wao hawana habari tunatakiwa tuwe na consumer protection consortium hapa nchini vinginevyo tutachezewa sana!mara cha wiki wanakupa siku tatu, mara kinakata kesho yake, hueleweki!
Nikweli bei imepanda hadi mara2 hadi mara 5 mfano bando ta usiku la sh 1500 lilikuwa MB5000 sasa hivi ilo bando unapewa MB1300
Hivi kuna vifurushi vya kujimwambify na netflix kweli huko?30 days kwa Tanzania ni sawa na 15 days!
7 days ni sawa na 3 days wether you like it or not! Kwa sasa wamejiongeza yani ukiunga cha week ikifika kesho baada ya muda tu uliojiunga kinakata na kukwambia umebakiwa na 15MB za matumizi kisha wanakukatia huduma after 15mns za matumizi!
Voda gb 10 bundle la wiki unatumia siku 3 au 4 imeisha,hapo ujaangalia youtube,netflix au video yoyote online ba hata ujadownload chochote gb 10 inaisha siku 4 kwa kuchat tu!bongo watu wanaibiwa sana!mara cha wiki wanakupa siku tatu, mara kinakata kesho yake, hueleweki!