Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 26,519
- 78,311
Sasa ksh 4b ndio uje kupiga kelele humu!?Nikuulize, wasema ni kidogo, kwani zilikuwa zigawanywe nchi nzima,au wadaishaje. Wewe hapo wasema ndogo, wakulima wakizipata washaridhika. 😂 😂 😂