Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 26,519
- 78,311
Sasa ksh 4b ndio uje kupiga kelele humu!?Nikuulize, wasema ni kidogo, kwani zilikuwa zigawanywe nchi nzima,au wadaishaje. Wewe hapo wasema ndogo, wakulima wakizipata washaridhika. π π π
Jamaa ameleta takwimu ambazo zinaonesha kwamba kwa mwaka Tz wanaingiza $12M tu za exports ya mapachichi. Wakati Kenya mwaka wa 2020 iliingiza $125M. Alafu bado anaiponda Kenya akisema hizo hela ni ndogo sana. Hawa watu ni vichaa. [emoji1]Nikuulize, wasema ni kidogo, kwani zilikuwa zigawanywe nchi nzima,au wadaishaje. Wewe hapo wasema ndogo, wakulima wakizipata washaridhika. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wewe unataka nikutukane. Kama hutaki mjadala wa kistaarabu, nitakufanya ukimbie humu.Sawa tumejua sasa wewe ni mbobezi wa IT,! π€£ π€£ π€£ π€£ π€£ π€£
Mzee 93% ya mwaka huu for 1/4 ni ksh 4bJamaa ameleta takwimu ambazo zinaonesha kwamba kwa mwaka Tz wanaingiza $12M tu za exports ya mapachichi. Wakati Kenya mwaka wa 2020 iliingiza $125M. Alafu bado anaiponda Kenya akisema hizo hela ni ndogo sana. Hawa watu ni vichaa. [emoji1]
Umechanganyikiwa wewe, hizo takwimu zipo kule juu kwenye mada ya uzi huu. Usiwe na mazoea ya kurukia moja kwa moja kwenye comments.Unaweza kuleta taarifa kutoka kwenye official website!? Mzee mambo ya IT Mimi ni mbobezi. Huwezi kuniletea website uchwara.
Unaona unavyo ji contradict!?
Umesema:-
The value of Kenyaβs avocado exports jumped 93 per cent to Sh4.26 billion in the first quarter of this year.
Do you know 93% maana yake!?
Ashakutolea mfano tayari, wewe niletee jibu langu hapa! [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Jamaa ameleta takwimu ambazo zinaonesha kwamba kwa mwaka Tz wanaingiza $12M tu za exports ya mapachichi. Wakati Kenya mwaka wa 2020 iliingiza $125M. Alafu bado anaiponda Kenya akisema hizo hela ni ndogo sana. Hawa watu ni vichaa. [emoji1]
Uzi ni wa MK254 jombaa, kunywa maji kwanza tafadhali. [emoji41]Mzee soma thread yako na uangalie contradictions ndio ujue taarifa zenu ni za kutengeneza.
Mzee ndicho tunachoongelea usilete hasira.Umechanganyikiwa wewe, hizo takwimu zipo kule juu kwenye mada ya uzi huu. Usiwe na mazoea ya kurukia moja kwa moja kwenye comments.
Ongezeko la 93% ni kwa miezi mitatu ya kwanza ya mwaka huu ikilinganishwa na miezi mitatu ya kwanza ya mwaka uliopita. Aisee tukiendelea hivi nitaanza kukufunza 1+1.Mzee 93% ya mwaka huu for 1/4 ni ksh 4b
Utasemaje mnaingiza $124m!?
Huyu mtanzania mmoja tu anapata 47 million kes au billion 1 ya Tanzania kwa mwaka, hapo vipi?Ashakutolea mfano tayari, wewe niletee jibu langu hapa! π€£ π€£ π€£
Hakuna, wewe ndio umechanganyikiwa kupitiliza jombaa. [emoji38]Kati ya MK254 na wewe nani anasema uongo!?
Mzee sipendi ubabaishaji ujue.Hakuna, wewe ndio umechanganyikiwa kupitiliza jombaa. [emoji38]
Kulima mmoja wa Tanzania ni sawa na hao mamilionea wenu woteNimemtolea mifano, yaani zaidi ya moja ya mamilionea wa maparachichi nchini Kenya. Huyo ni sampuli ya watu wa kupuuzwa tu. Hana uwezo wa kung'amua kilichoandikwa kwenye hizo link hata akizifungua kwa bahati mbaya. Hana hoja, hana takwimu ni umbea tu. Ndio maana sasa anauliza hao matajiri wana nyumba ngapi na magari mangapi. [emoji1] Bure kabisa!
47 million Tz money ukiconvert into Kenyan Shillings Ni Ushuzi mtupu π€π€£π€£π€£π€£π€£Huyu mtanzania mmoja tu anapata 47 million kes au billion 1 ya Tanzania kwa mwaka, hapo vipi?
[]
Kenyan 47 million, punguza mihemko π47 million Tz money ukiconvert into Kenyan Shillings Ni Ushuzi mtupu π€π€£π€£π€£π€£π€£
Wewe ni mpumbavu hujui hata uchumi.47 million Tz money ukiconvert into Kenyan Shillings Ni Ushuzi mtupu π€π€£π€£π€£π€£π€£
Jombaa, $125M ni jumla ya exports za maparachichi kutoka Kenya mwaka jana, kwa miezi 12. KES 4.26B ni export ya mapachichi kwa miezi mitatu ya kwanza mwaka huu. Ni nini kinakukanganya hapo?Mzee sipendi ubabaishaji ujue.
Hebu toa maelezo hapa:-
The value of Kenyaβs avocado exports jumped 93 per cent to Sh4.26 billion in the first quarter of this year
Compare na hiki unachokiweka $126m
Hivi unajia math kweli wewe!?
Alafu hazihesabiwi kama export za Tz? [emoji849]wapo watu huko Njombe kutoka SA wanalima avocados sana tu. Wanapeleka South Africa.