Kenya: Tume na Makamishna waliokataa Matokeo watofautiana uteuzi wa Mawakili

Kenya: Tume na Makamishna waliokataa Matokeo watofautiana uteuzi wa Mawakili

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
Mzozo kati ya Makamishna wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) unazidi kuongezeka baada ya pande hizo mbili kuteua Mawakili tofauti kuwawakilisha kwenye maombi ya kupinga Matokeo ya Uchaguzi wa Rais.

Mkurugenzi Mkuu Mtendaji wa IEBC Hussein Marjan aliifahamisha Mahakama Kuu wameteua Mawakili 26 ambao wataiwakilisha Tume na Mwenyekiti wake Wafula Chebukati.

Upande wa Makamishna waliokataa Matokeo ya Urais ukiongozwa na Juliana Cherera, Makamu Mwenyekiti wa IEBC pia umeteua Mawakili wao watakaosimama kutetea hoja za kuyakataa Matokeo waliyodai hayakuwa sahihi na yaliingiliwa.

=========================

The rift among commissioners of the Independent Electoral and Boundaries Commission (IEBC) widened even further yesterday after the two sides appointed separate sets of lawyers to represent them in the petitions challenging the outcome of the August 9 presidential election.

IEBC CEO Hussein Marjan notified the Supreme Court that it was appointing 26 law firms that will represent the commission and its chairperson Wafula Chebukati, a decision that could see the taxpayer cough up hundreds of millions of shillings to pay their legal bills.

But the appointments, communicated by Mr Marjan, were silent on the representation of the other six commissioners including Prof Abdi Guliye and Boya Molu, who are also listed as respondents in the petitions challenging the outcome of the August 9 presidential election.

NATION
 
Kwasababu ya ujinga wenu ndio maana mlikataa, Kenya haina watu wajinga kama nyinyi enguaengua wagombea wa upinzani na kufunga ofisi za serikali ili wagombea wa upinzani wasirudishe forms.
Kwani wanayofanya hao wakenya wako ni ya watu wanaotumia akili zao vizuri kweli!!?
 
Kenya watauwana tu,mwafrica hata ukimpa demokrasia bado wataonyeshana chuki mpaka kufikia kuuwana.
 
Ndio maana Tanzania tulikataa kuwa na Tume huru na pia kuwa na transparent votes
Kwa nchi maskini za kiafrika ukiweka uhuru wa kupinga matokeo ya urais basi uwe na uhakika kuwa kila uchaguzi atakayeshindwa atakimbilia mahakamani!!
 
Kwa nchi maskini za kiafrika ukiweka uhuru wa kupinga matokeo ya urais basi uwe na uhakika kuwa kila uchaguzi atakayeshindwa atakimbilia mahakamani!!
Kwani kuna tatizo?si akienda huko na kushindwa kuyadhibitisha madai yake, si ndio imeishia hapo, na maisha yanaendelea?!!kuliko kutokuwa na mwanya huo, na kuanza kuleta vulugu
 
Back
Top Bottom