Kenya inaunda pilot boats tatu na nchi iliyoagiza ni Tanzania

Ferries kama hizi Kenya huagiza Uturuki
https://www.facebook.com/
Barges kama hizi Tanzania huagiza Kenya maana hamna uwezo wa kuzijenga.


Hapa Kazi Tu 01​


The first of the two cargo barges ordered by the Tanzania Ports Authority (TPA) has been launched at our shipyard in Mombasa.
Hapa Kazi Tu 01, classed by Bureau Veritas, is 77.98 m long with a 11.83 m beam and will operate from the port of Tanga in Tanzania.
 
Dar badge by Songoro marine









This is a badge for Zanzibar
https://www.facebook.com/
 

Rudia tena nilichokiandika, mwanabiashara hufanya maamuzi ya manunuzi kulingana na mikakati na mipango ya kibiashara, pumba za undugu tupa kule.
Hakuna mwenye akili timamu atafuata bidhaa zozote Uchina kama ana uhakika wa kuzipata kwenye nchi jirani na zitakazokidhi vigezo vya ubora na unafuu kwenye bei. Hii ndio sababu viongozi wa Kiafrika wanapigwa mabao na China, maana wale Wachina walishagundua namna ya kuhakikisha mazingira ya uzalishaji yapo bora kwa wawekezaji, hivyo wanaishia kuvipa viwanda vya huku Afrika ushindani mkali.

Siku mkianza kutumia akili, mtaona mlivyoneemeka, mataifa mengi yaliyowazunguka yote yanaagiza Uchina na kupitishia bandari ya hapo kwenu vitu vingi tu ambavyo kuna uwezekano mkubwa wa kuvizalisha humo humo kwenu pale mkiacha usanii wa viwonder vya vyerehani.
 
Nimekwambia wewe ndo usome nilichoandika uelewe
 
Ferries kama hizi Kenya huagiza Uturuki
https://www.facebook.com/
Unaropokwa kwamba kampuni hii ya SECO haiwezi kuunda ferry? SECO ndio ilijengea Uganda ferry inayotumika Lake Albert.



Albert Nile 1​

Type: Modular Passenger Ferry
Length: 42.44m
Breadth : 17.26m
Capacity: 200 passengers and 20 vehicles
 
Tatizo wenye hii kampuni si Mkenya! Foreign owned! labda utueleze owners wa SECO!


pitia hapa level ya kenya ni sawa na level ya Mwanza

 
Mchukuwe mahindi yetu kwanza. Ndipo tuzungumze kuhusa biashara hiyo
 
Umasikini wetu tunaujua. Na Africa wanaujua. Kenya mlikuwa kuna kula na makaburi na kufanya biashara nao. Tanzania ulikuwa vitani kulomboa bara letu. Na nyie Kenya tuliwasaidia kabla mzungu kuondoka.
 
Ni vema sana ndo maana hata sisi tuna tengeneza na kurepea meli za uganda za lake victory so pesa izunguke huku huku EAC
 
Ukishajua namna ya kula na hawa hautajali viburi vyao, unanyatia nyatia tu kwa kwenda mbele, wanatukana, wanakejeli ila wewe umo humo humo unakomalia tu.

Pumbavu zako, kumbe unajua tunaviburi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…