Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ferries kama hizi Kenya huagiza Uturuki

Dar badge by Songoro marineBarges kama hizi Tanzania huagiza Kenya maana hamna uwezo wa kuzijenga.
Hapa Kazi Tu 01
The first of the two cargo barges ordered by the Tanzania Ports Authority (TPA) has been launched at our shipyard in Mombasa.
Hapa Kazi Tu 01, classed by Bureau Veritas, is 77.98 m long with a 11.83 m beam and will operate from the port of Tanga in Tanzania.
Kiswahili kigumu kidogo huko kwenu naona kama sisi ilivyo kinge kigumu
Niliposema bidhaa inapatikana kwa jirani na mbali(manaake ceteris peribus)
Achana na bei na ubora(hivi viko sawa) ila ni bora ununue Kenya kuliko China
BTW: Mimi Sio masikini(Tanzania yenyewe ni masikini ila sio wote "tupo" masikini)
Nimekwambia wewe ndo usome nilichoandika ueleweRudia tena nilichokiandika, mwanabiashara hufanya maamuzi ya manunuzi kulingana na mikakati na mipango ya kibiashara, pumba za undugu tupa kule.
Hakuna mwenye akili timamu atafuata bidhaa zozote Uchina kama ana uhakika wa kuzipata kwenye nchi jirani na zitakazokidhi vigezo vya ubora na unafuu kwenye bei. Hii ndio sababu viongozi wa Kiafrika wanapigwa mabao na China, maana wale Wachina walishagundua namna ya kuhakikisha mazingira ya uzalishaji yapo bora kwa wawekezaji, hivyo wanaishia kuvipa viwanda vya huku Afrika ushindani mkali.
Siku mkianza kutumia akili, mtaona mlivyoneemeka, mataifa mengi yaliyowazunguka yote yanaagiza Uchina na kupitishia bandari ya hapo kwenu vitu vingi tu ambavyo kuna uwezekano mkubwa wa kuvizalisha humo humo kwenu pale mkiacha usanii wa viwonder vya vyerehani.
unaumwa! Songoro marine imeunda meli zaidi ya 40 EA!Nyinyi mumefanya refurbishment hamjaunda. Jifunze tofauti ya refurbishment na kuunda.
Tatizo wenye hii kampuni si Mkenya! Foreign owned! labda utueleze owners wa SECO!Unaropokwa kwamba kampuni hii ya SECO haiwezi kuunda ferry? SECO ndio ilijengea Uganda ferry inayotumika Lake Albert.
Albert Nile 1
Type: Modular Passenger Ferry
Length: 42.44m
Breadth : 17.26m
Capacity: 200 passengers and 20 vehicles
View attachment 1763832View attachment 1763833View attachment 1763835
Hehehe you are pained😂😂peleka upumbavu! hamna cha maana cha hizo boats! Hili lilishakuwa-discussed!
Mchukuwe mahindi yetu kwanza. Ndipo tuzungumze kuhusa biashara hiyoKuna hizi pilot boats tatu ambazo mumeagiza tuwatengenezee. Kampuni inayounda ni kampuni inayoitwa SECO engineering ya Mombasa. Tuko karibu kumaliza na by June boats zitakuwa tayari. Sisi ni jirani wema na tunawajali. Kenya ni nchi ya viwanda ndio maana tunawajengea pilot boats. Pilot boat inakaa hivi kwa wale ambao hawajui
View attachment 1763109View attachment 1763110
Hata Ntv imeongea kuhusu jambo hili.
Atutakii kabisaUjirani mwema
Tanzania wanatengeneza silaha tangu 1978. Ukombozi wa kusini mwa Africa silaha ndogo na Risasi walipata toka Moro.....Hahaha. Asante. Umefikiria kama watu hamsini.
Umasikini wetu tunaujua. Na Africa wanaujua. Kenya mlikuwa kuna kula na makaburi na kufanya biashara nao. Tanzania ulikuwa vitani kulomboa bara letu. Na nyie Kenya tuliwasaidia kabla mzungu kuondoka.Hii ndio sababu kuu kwanini Tanzania bado mpo maskini miaka yote hii, mnaendesha biashara zenu kindugu ndugu badala ya mahesabu ya kibiashara. Ukiwa na bidhaa nafuu, hakuna mwanabiashara atakwenda mbali, siku zote unanunua chochote kwa kufanya mipango na mahesabu, kama kipo karibu ya mipaka yako na kama bei yake ni nafuu na kama kitakua chenye ubora, hayo ya undugu hayahusu chochote kwenye corporate world.
Ni vema sana ndo maana hata sisi tuna tengeneza na kurepea meli za uganda za lake victory so pesa izunguke huku huku EACKuna hizi pilot boats tatu ambazo mumeagiza tuwatengenezee. Kampuni inayounda ni kampuni inayoitwa SECO engineering ya Mombasa. Tuko karibu kumaliza na by June boats zitakuwa tayari. Sisi ni jirani wema na tunawajali. Kenya ni nchi ya viwanda ndio maana tunawajengea pilot boats. Pilot boat inakaa hivi kwa wale ambao hawajui
View attachment 1763109View attachment 1763110
Hata Ntv imeongea kuhusu jambo hili.
Ukishajua namna ya kula na hawa hautajali viburi vyao, unanyatia nyatia tu kwa kwenda mbele, wanatukana, wanakejeli ila wewe umo humo humo unakomalia tu.