Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa askari wa Kenya ndio maana hata alshabab wanawachezea sana...Nimerudia mara tatu kuangalia tukio hili, ila mara ya nne nikakumbuka kuna wadau huko hebu nikapate kutanua mawazo kutoka kwako.
Kama una bundle fungua ni video ya 5mb, uangalie kwa umakini ili mawazo yako yareply kwa unakini.
View attachment 2682386
☝🏾 Hili tukio la hawa jirani zetu hapo Kenya kurushiwa mabomu ya machozi, kisha na wao wanayaokota na kuwarushia polisi na baadae polisi wanakimbia lina maana gani wadau?
Ndugu zangu watanzania nadhani tusije fika huko pale inapowezekana 😄!