barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Nina rafiki mkenya, akisikia mtu ni mnaijeria ananiambia achana nae..anakuseti akuibie..n sio yeye tu. Wakenya wengi hawawakubali wanaijeria..Huu upumbavu wa Wasouth utaisha lini, yaani wana chuki dhidi ya Wanaijeria kupita maelezo, lolote mbaya likifanywa na mgeni mweusi wao wanatumia kama fursa dhidi ya Wanaijeria. Hapa ni wazi Watanzania ndio wametajwa maana wanasemekana ndio wanaongoza kama wauza unga na wahalifu, lakini mwisho wa siku Mnaijeria ndiye anapokea kichapo.
Hii bifu ya Nigeria na Afrika Kusini sijui itaisha lini.
What do u want to proveYou see even cocaine in SA is termed as “unga,” a Swahili jargon for cocaine!
Hajakosea, mgogoro wote huu ulianza baada ya dereva wa taxi kuuawa na mtanzania ambaye alikuwa anauza madawa ya kulevya. Ila haihalalishi upumbavu ambao waS.A wanaufanya sasa hivi dhidi ya waafrika wenzao.
Nigerians are known to be all sorts of things yahoo boys, drug dealers, wash wash but those that channel their energy thro rightful things are doing well and successful, its all over the world they are known si mambo na wakenya pekee,Nina rafiki mkenya, akisikia mtu ni mnaijeria ananiambia achana nae..anakuseti akuibie..n sio yeye tu. Wakenya wengi hawawakubali wanaijeria..
Wakenya sijajua wanaijeria wamewafanyia kitu gani.
unataka kujua ili?? uguza majeraha pembeni kijana!Ubongo na akili yako vipo kichwani au kwenye makalio?
Sorry I didn't want to bring this here. But just to confirm to you that no black foreigner is safe in SA.
Huu upumbavu wa Wasouth utaisha lini, yaani wana chuki dhidi ya Wanaijeria kupita maelezo, lolote mbaya likifanywa na mgeni mweusi wao wanatumia kama fursa dhidi ya Wanaijeria. Hapa ni wazi Watanzania ndio wametajwa maana wanasemekana ndio wanaongoza kama wauza unga na wahalifu, lakini mwisho wa siku Mnaijeria ndiye anapokea kichapo.
Hii bifu ya Nigeria na Afrika Kusini sijui itaisha lini.
And the interviewer is Nigerian, probably gave him free drugs or R10 and asked him to do this speech.
Halafu ujue hii video imesambazwa dunia yote maana Wanaijeria wanaitumia kuanika uovu wa Watanzania ambao hufanywa kimya kimya kiunafiki na ndio wa kwanza kuelekeza lawama kwa wengine.
Ukweli mnafahamika sana biashara ya unga, kuna kipindi paspoti ya Kitanzania ilikua haitakiwi kabisa.
Enzi zile ilikua inasemekana mwanaye mkulu fulani wenu ndiye alikua kigogo wa haya mambo, nyuzi zilifunguliwa nyingi sana humu zikimsema. Kipindi hicho ndio mlikua mnatorosha meno ya simba kwa ndege.
And the interviewer is Nigerian, probably gave him free drugs or R10 and asked him to do this speech [emoji706][emoji706]
Nimeiona hio video..
Kwanza anayerecord ni mnigeria ,shahidi ni mnigeria ,mtoa maelezo ni mnigeria..
Hivi unategemea aseme kwamba mnigeria ndio aliua?? Siwatetei watanzania wa huko lakini ili kubalance story na waTZ wahojiwe
Katafute maana ya neno probably...
It seems the victim is known, why they didn't report to any responsible authority in that area?Nothing like hate, Tanzanians are the cause of the current events in South Africa. Why kill a taxi driver just because he stopped you from destroying their kids with drugs?
Kwani mkuu unemuona shahidi anayesema alikuwepo.... naye ni mnigeria..Anayehoji lafudhi yake ni ya Kinijeria, ila anayehojiwa ana lafudhi ya Kisouth, halafu unategemea Watanzania wahojiwe na kukiri wao ndio walimpiga risasi jamaa. Kwa kifupi huko South kumenuka, watu waondoke tu.
Nenda SA Kawaambie kuwa waTz ndio wabaya sio kulia lia hapa
Wenyewe wamewashtukia hawana haja yangu niwaambie.
Sasa mbona unalia lia ovyo hapa