Tetesi: Eye witness account: Seems like TZ is part and parcel of the Xenophobia problem in SA!!

Huu upumbavu wa Wasouth utaisha lini, yaani wana chuki dhidi ya Wanaijeria kupita maelezo, lolote mbaya likifanywa na mgeni mweusi wao wanatumia kama fursa dhidi ya Wanaijeria. Hapa ni wazi Watanzania ndio wametajwa maana wanasemekana ndio wanaongoza kama wauza unga na wahalifu, lakini mwisho wa siku Mnaijeria ndiye anapokea kichapo.

Hii bifu ya Nigeria na Afrika Kusini sijui itaisha lini.
Nina rafiki mkenya, akisikia mtu ni mnaijeria ananiambia achana nae..anakuseti akuibie..n sio yeye tu. Wakenya wengi hawawakubali wanaijeria..
Wakenya sijajua wanaijeria wamewafanyia kitu gani.
 
SA na Nigeria ndio economic giants Africa hii, hawa wazee wana lao jambo
We unayeleta ushahidi sijui waTZ ndo chanzo au ndio wanaopaswa kufanyiwa wanayofanyiwa wanaija fanya hivi nenda SA pale Jo'burg then waambie tusiwadhuru wanaija bali waTZ kama watakuelewa

Nyie wakenya mna chuki zenu na TZ hakuna asiyejua hii pia ni propaganda kutaka kuonyesha jinsi gani TZ haipendwi ila hamtafanikiwa

Tanzanians we're good people
 
mkuu watanzania na wasauzi ni kitu kimoja
WOTE WAVIVU .
na wanapenda maaana wanakutana kwenye magenge ya uhalifu.
Ugomvi wao ni Kwa wasomali,wanaigeria,wazimbabwe.
 
Nina rafiki mkenya, akisikia mtu ni mnaijeria ananiambia achana nae..anakuseti akuibie..n sio yeye tu. Wakenya wengi hawawakubali wanaijeria..
Wakenya sijajua wanaijeria wamewafanyia kitu gani.
Nigerians are known to be all sorts of things yahoo boys, drug dealers, wash wash but those that channel their energy thro rightful things are doing well and successful, its all over the world they are known si mambo na wakenya pekee,
 
Yani ndo wanafanya huu unyama,aisee this f*cking too much,tuachekunyoosheana vidole,hawa jamaa ni wanyama
Sorry I didn't want to bring this here. But just to confirm to you that no black foreigner is safe in SA.
 
And the interviewer is Nigerian, probably gave him free drugs or R10 and asked him to do this speech.
Huu upumbavu wa Wasouth utaisha lini, yaani wana chuki dhidi ya Wanaijeria kupita maelezo, lolote mbaya likifanywa na mgeni mweusi wao wanatumia kama fursa dhidi ya Wanaijeria. Hapa ni wazi Watanzania ndio wametajwa maana wanasemekana ndio wanaongoza kama wauza unga na wahalifu, lakini mwisho wa siku Mnaijeria ndiye anapokea kichapo.

Hii bifu ya Nigeria na Afrika Kusini sijui itaisha lini.
 
And the interviewer is Nigerian, probably gave him free drugs or R10 and asked him to do this speech.

Halafu ujue hii video imesambazwa dunia yote maana Wanaijeria wanaitumia kuanika uovu wa Watanzania ambao hufanywa kimya kimya kiunafiki na ndio wa kwanza kuelekeza lawama kwa wengine.

Ukweli mnafahamika sana biashara ya unga, kuna kipindi paspoti ya Kitanzania ilikua haitakiwi kabisa.
Enzi zile ilikua inasemekana mwanaye mkulu fulani wenu ndiye alikua kigogo wa haya mambo, nyuzi zilifunguliwa nyingi sana humu zikimsema. Kipindi hicho ndio mlikua mnatorosha meno ya simba kwa ndege.
 
And the interviewer is Nigerian, probably gave him free drugs or R10 and asked him to do this speech [emoji706][emoji706]
Halafu ujue hii video imesambazwa dunia yote maana Wanaijeria wanaitumia kuanika uovu wa Watanzania ambao hufanywa kimya kimya kiunafiki na ndio wa kwanza kuelekeza lawama kwa wengine.

Ukweli mnafahamika sana biashara ya unga, kuna kipindi paspoti ya Kitanzania ilikua haitakiwi kabisa.
Enzi zile ilikua inasemekana mwanaye mkulu fulani wenu ndiye alikua kigogo wa haya mambo, nyuzi zilifunguliwa nyingi sana humu zikimsema. Kipindi hicho ndio mlikua mnatorosha meno ya simba kwa ndege.
 
Nimeiona hio video..
Kwanza anayerecord ni mnigeria ,shahidi ni mnigeria ,mtoa maelezo ni mnigeria..

Hivi unategemea aseme kwamba mnigeria ndio aliua?? Siwatetei watanzania wa huko lakini ili kubalance story na waTZ wahojiwe
 
Anayehoji lafudhi yake ni ya Kinijeria, ila anayehojiwa ana lafudhi ya Kisouth, halafu unategemea Watanzania wahojiwe na kukiri wao ndio walimpiga risasi jamaa. Kwa kifupi huko South kumenuka, watu waondoke tu.
 
Nothing like hate, Tanzanians are the cause of the current events in South Africa. Why kill a taxi driver just because he stopped you from destroying their kids with drugs?
It seems the victim is known, why they didn't report to any responsible authority in that area?
 
Anayehoji lafudhi yake ni ya Kinijeria, ila anayehojiwa ana lafudhi ya Kisouth, halafu unategemea Watanzania wahojiwe na kukiri wao ndio walimpiga risasi jamaa. Kwa kifupi huko South kumenuka, watu waondoke tu.
Kwani mkuu unemuona shahidi anayesema alikuwepo.... naye ni mnigeria..
Kwani ulitegemea aseme mnigeria ndio alipiga risasi??
 
Back
Top Bottom