tuusan
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 17,972
- 20,221
Wakati mnakopa mlikua hamjui kuna kulipa?sasa hv mmeambiwa kwa nchi zinazoendelea kama kenya mpewe nafuu kidogo lakini deni liko pale pale....Kwa kiswahili kingine mmefilisika hamna uwezo wa kulipa madeni mmefulia kama asemavyo Joti....kenya ndio baba yao ukanda Huu kwa madeni[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]