Hahaha. Wewe jamaa naona umefurahi sana kwamba tuna madeni. Usijali tutayalipa tu.COVID-19 ilivyolipuka mlichukua pesa kibao haya vp sasa imeisha? Pesa mlizonywea soup na kachori mtazilipa mpende msipende hakuna pesa za bure,hamkujua mnakula pesa zenu wenyewe
Usichekelee, mmeshindwa kulipa deni kwa sababu ya UMASIKINI wenu.
Hiyo suspension is for short term. In fact the loan is not amortizing. It's there to stay.
COVID-19 ilivyolipuka mlichukua pesa kibao haya vp sasa imeisha? Pesa mlizonywea soup na kachori mtazilipa mpende msipende hakuna pesa za bure,hamkujua mnakula pesa zenu wenyewe
Finally you have become humble [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kweli mchina ni dawa tosha.. Ila Kenya ni pango la mafisadi na ni Mali ya mzunguNasema tutajifunza kupitia kwa masaibu ya deni tunayopitia sasa hivi. Kwani kuna ubaya nikisema hivyo? I am not being proud.
Hili deni lisiwape tabu, wamefanya vyema sana kuacha tupige hela kwanza kipindi hiki cha corona, mlikua mumesubiri kwa hamu sana.
Eti walikua wanasubiria mshindwe kulipa? Kwani mmeweza kulipa? Wamepose week ndio mnapata mshawasha hivi? Hii inaonesha namna mlivyo na hali ngumuHahaha. Aki this is good news. Kuna watu walikuwa wanangojea tushindwe kulipa ili waanze kutuchekelea.
Cc Geza Ulole ichoboy01
Haliwezi kunipa tabu mimi. Dawa ya deni ni kulipa. Lipeni hela ya watu.
Mtakufa na madeni na cha ajabu pesa zenyewe zinaliwa na wajanja wachache nyinyi wakina MK254 mnakufa njaa tu halafu unakuja hapa kushangilia upigaji wa pesa uliofanywa na viongozi wako!!
Mara mbili kivipi? Sasa jiulize sisi iyo tsh 2trillions ndio hela ndefu kuwahi kukusanya...hatujapoa tumeshasign mkataba na mchina kujenga reli tutagharamia wenyewe 3trillions mkataba wa 3yrs sasa nyie ndugu zetu pesa zote hizo mnazokusanya mnafanyia nn?????Hili deni la Kenya kwa Mchina lilikua gumzo la taifa Bongo, sasa sijui mtalia nini.... limewekwa pembeni tupige hela kwanza kipindi hiki cha corona, haina noma tutalipa maana sisi ni taifa tajiri, juzi KRA imekusanya mapato mara mbili yenu.
Kwan nyie mlipokua mnaomba omba msamehewe madeni kisa corona hamkua mnatumia akili.
Mara mbili kivipi? Sasa jiulize sisi iyo tsh 2trillions ndio hela ndefu kuwahi kukusanya...hatujapoa tumeshasign mkataba na mchina kujenga reli tutagharamia wenyewe 3trillions mkataba wa 3yrs sasa nyie ndugu zetu pesa zote hizo mnazokusanya mnafanyia nn?????
Mkianza kua serious kubana matumizi nakuongeza vyanzo vya mapato basi tutawagopa n kuwapea heshima lakini mnavyoenda hivyo tunawadharau
Sasa ni wap barabara hazijengwi?haya Nairobi bado kunashida ya maji maeneo kadhaa vipi uko mikoani hali itakuajeHautaona tunachokifanya maana umejitia upofu, nchi hii imekua kama Ulaya, kila nikigeuza kichwa ni full maendeleo, mavitu yanazinduliwa, tunaibukiwa na barabara ambazo hatukua tunazifahamu, kwa kasi ambayo Kenya inapaa nayo usipokua makini utajihisi mgeni kwenye nchi yako, leo hii hata Nairobi kuna maeneo yananikanganya, siamini ni hii Nairobi niliyokua nakatiza katiza kote.
Ni ulaya sio urayaLazima tuichezee dana dana kwanza....
Kwa sasa wacha tupige hela, kuna madubwasha tunazindua mojawapo ikiwemo express way inayopitia angani, yaani hapa Nairobi patapendeza kuzidi "Uraya" ile ambayo huwa mnaimbiwa kwenu huko.
Lazima tuichezee dana dana kwanza....
Kwa sasa wacha tupige hela, kuna madubwasha tunazindua mojawapo ikiwemo express way inayopitia angani, yaani hapa Nairobi patapendeza kuzidi "Uraya" ile ambayo huwa mnaimbiwa kwenu huko.
Sasa ni wap barabara hazijengwi?haya Nairobi bado kunashida ya maji maeneo kadhaa vipi uko mikoani hali itakuaje