zimbwe

  1. Waufukweni

    Wachezaji wa Simba, Ahoua na Zimbwe Jr waingia kwenye kikosi bora CAF hatua ya makundi

    Kwingineko Nyota wa Simba, Ahoua na Mohamed Hussein (Zimbwe Jr) wameingia kwenye kikosi bora cha CAF hata ya makundi Kombe la Shirikisho
  2. SAYVILLE

    Alichokifanya Chasambi walishakifanya Zimbwe na Che Malone

    Huu uzi si wa kutetea upuuzi alioufanya Ladack Chasambi katika mechi ya jana kati ya Fountain Gate vs Simba. Huu uzi nia yake kuelezea maeneo mawili ambayo Simba imekuwa na tatizo nayo kwa muda mrefu. Nasisitiza, kosa moja halihalalishi makosa mengine. Katika mechi kati ya Simba vs Yanga ambayo...
  3. Metronidazole 400mg

    Kapombe na Zimbwe ndio watakao mfukuzisha kazi kocha Fadlu

    Hawa wawili ni full backs Bora kabisa kuwahi kutoka hapa Tanzania ( ila tukubaliane kazi na umri shehe ) Wametumika na makocha wengi kwa mda mrefu na Bado wanaendelea kutumika ( hili ndilo AMBALO Mimi nalikataa na nitalipinga daima ) Just imagine, kwenye mechi za kimataifa ni wao, NBC wao, fa...
Back
Top Bottom