womens day

  1. Jidu La Mabambasi

    Best picture Womens Day, safi sana Polisi wanawake: chagua umpendaye!

    Nimefurahishwa sana na picha hii ya askari wanawake ambao wako fit kabisa. Ni huko Urambo Tabora, Nipashe leo march 9. Mimi namchagua no 1, kwa maringo tu!
  2. Teslarati

    WOMENS DAY (MMU): Wanawake asili yenu ni roho ya huruma na kujali. Siku hii iwakumbushe kurudia asili yenu ya huruma na kujali hasa kwa wapenzi wenu

    Wanawake asili yenu ni kuwa na huruma na kujali, lakini imekua opposite hasa kwenye sekta ya mahusiano na mapenzi kwa ujumla. Wanawake wa kipindi kile walikua wanawajali sana waume/wapenzi wao. Ukitoka kazini unakuta msosi umefunikwa kwa ungo lenye maneno matamu, hapo kuna maji ya moto...
  3. J

    Siku ya Wanawake Duniani: Vikwazo wanavyokumbana navyo Mitandaoni vipate ufumbuzi

    Upatikanaji wa Intaneti pekee hautoshi kuongeza Ushiriki wa Wanawake katika Majukwaa ya Kidigitali. Ni muhimu vikwazo wanavyokumbana navyo vipate ufumbuzi. Masuala ya Unyanyasaji wa Mtandaoni na Gharama kubwa ya Huduma ya Intaneti yanahitaji suluhisho ===== As our daily lives become...
Back
Top Bottom