welding

  1. steve_shemej

    Fundi welding natafuta kazi

    Habarini wanandugu. Nimekuja kwenu naomba ajira mim ni fundi welding nina cheti. Nina uzoefu kwenye arc pia nina uzoefu wa wastani kwenye MIG welding Namba yangu hii 0763329715
  2. steve_shemej

    Natafuta kazi ya welding

    Naitwa Steve nipo Songea natafuta kazi ya welding Nina uzoefu wa kuunga vyuma vyepes na vizito Namba yangu 0713861567
  3. Mr HQ

    Je, ajira za welding and metal fabrication ni zipi?

    Jamani kama mtu amemaliza chuo cha ufundi veta amepata certificate ya level II (VC2) na Level III (VC3) anaweza kuajiriwa sehemu gani au anaweza kuomba kazi sehemu gani naombeni msaada jamani.🙏🙏🙏
  4. SEASON 5

    Ushauri wa Mahitaji kuhusu biashara ya kuchomelea (welding)

    Nakuja kwenu ndugu zangu naomba kwa wenye uzoefu na wenye taarifa sahihi kuhusu biashara ya welding (kuchomelea) naomba kujua gharama ya vifaaa vinavyohitajika, Aina ya vifaa na Bei zake Ubora wa Kifaaa na Madhaifu ya vifaa husika Makadirio kwa vifaa vyote mpaka fundi anaanza kuchomelea Geti...
  5. PAZIA 3

    Nani ana mtaji tuanzishe biashara ya PLASTIC WELDING?

    Plastic welding Ni Kazi nzuri Sana ukiiendesha kisasa, yaani uwe na eneo la kuhifadhia vitu/vyombo vya wateja/kalakana, uwe na umeme. Vitu vinavyohitajika Ni; Electronic gun kwa kutobolea matundu na kuyeyushia plastics, Wire mesh laini, makret yaliyopasuka kwa kuungia plastics za wateja, hivi Ni...
  6. Urban77

    Welding machine na grinder machine za Bei nafuu zinahitajika

    Welding machine na grinder machine za Bei nafuu zinahitajika.
  7. Elon Mzebuluni

    Tunatengeneza urembo wa mageti, fensi, madirisha, milango, balcon na vitanda

    Habari! Kwa mahitaji ya urembo wa mageti, madirisha, milango, balcon na vitanda usisite kutucheki tukuhudumie. Pia tunafanya kazi yeyote ya casting. Karibu bei zetu ni za kishindani na nafuu. Tupo Mbeya mjini.
Back
Top Bottom