Yaan nimeduwaa sijaelewa una maanisha nini, sawa wewe umeijenga website kwa ajili ya desktop sawa sijakataa nakubariana na wewe lakini je huo muonekano wake UI umeangalia kwenye simu zetu hizi za smartphone inaonekanaje in accordance to UX umeuliza users wako kadhaa wanaonaje au ipo ipoje...
Habari
Kama ww ni developer front - end or back - end na uko competent but una kaz ni check 0678650509 . Lakini pia kama una uzoefu wa marketing na una kaz nicheki pia . Nina few idea nataka tuwekee mtaani ... tutalipana kwa share ... office italipia na all materials needed . Nataka watu...
Nimetengeneza Web Application ya majaribio kwa kutumia Flutter na nimei deploy kwenye platform ya Vercel. Link hapa chini.. 👇
Bonyeza Link 👉 👉 🔗 FITNESS APP
Ukiifungua itakuja pop up inayokupa option ya kuinstall kama app ambapo itatengeneza icon kwenye home screen yako na utaweza...
Habari wana JF, Mimi ni Developer ( Web & Mobile ). Nina uzoefu na web development upande wa Backend na Frontend. Pia nimejifunza mobile app development kwa Flutter na nimefanikiwa kufanya project kadhaa ndogo ndogo kwa ajili ya kujiimarisha na kupata uzoefu wa kile nilichojifunza.
Kwa sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.