vinicius junior

  1. Waufukweni

    Vinicius Junior anafikiria kununua klabu ya soka katika ligi daraja la pili nchini Ureno

    Nyota wa Real Madrid, Vinícius Júnior, anafikiria kununua klabu ya soka katika ligi daraja la pili nchini Ureno, kwa mujibu wa chanzo kilichoieleza ESPN. Ligi hiyo ya Ureno ina jumla ya klabu 18, zikiwemo timu za akiba za Benfica na Porto. == Real Madrid star Vinícius Júnior is considering...
  2. mdukuzi

    Kwa sasa hakuna mchezaji bora zaidi ya Vinicius Junior(vini jr)

    Mpappe,Messi,Robaldo,taja mwingine,ukuwajumlisha kwa pamoja kwa sasa ndio unampata Vini Jr
  3. Teko Modise

    Sijaona uwezo mkubwa wa Jude Bellingham, hiyo Ballon d’or ni bora apewe Vini Jr

    Kumekuwa na kelele mitandaoni kuwa Jude Bellingham anastahili kutwaa tuzo ya Ballo d’or Msimu huu kwenye Uefa kuanzia hatua ya mtoano mpaka Madrid wanabeba taji sijaona mchango wake walau hata kuamua mechi. Vini Jr ameshafanya hivyo mara nyingi lakini sifa zote anamwagiwa Jude. Jude ana kipi...
  4. 2 of Amerikaz most wanted

    La Liga is investigating after Vinicius Junior was called a monkey

    La Liga is investigating after vinicius junior was called a monkey by a child during Valencia - Real Madrid yesterday. === According to The Athletic, a video on social media, posted by ESPN Brazil, allegedly showed a young person using racist language towards the Madrid star - who scored...
  5. JanguKamaJangu

    Vinicius Jr. aipongeza Sevilla kwa kumfukuza shabiki aliyeonesha ubaguzi wa rangi

    Nyota wa Real Madrid, Vinicius Junior ametoa pongezi kwa Sevilla kwa kuchukua hatua haraka kumtoa na kumripoti shabiki wake kwa mamlaka kwa madai ya kumtusi kwa ubaguzi wa rangi. Taarifa ya Sevilla baada ya mchezo baina ya timu hizo uliomalizika kwa sare ya 1-1, imeeleza "Kuna mtu alitambuliwa...
Back
Top Bottom