video games

  1. Last_Joker

    Kutoka Ndoto Kuweka Uhalisia: Jinsi Teknolojia Inavyosaidia Watu Kujifunza Stadi Mpya kwa Kucheza Michezo

    Tuko kwenye zama za kidijitali ambapo michezo ya video haipo tu kwa ajili ya kuburudisha. Zamani, ilikuwa kawaida kuona michezo ya video kama njia ya "kupoteza muda," lakini sasa, teknolojia imeleta mapinduzi makubwa – unaweza kujifunza stadi mpya kwa kucheza michezo! Fikiria hili, wewe...
  2. X

    Kama mwanamke wako ni shabiki wa timu za mpira au anacheza video games za soka kuna ujumbe wako hapa

    Ikiwa mwanamke wako anatazama mpira wa miguu na ni shabiki wa timu fulani, ujue kwamba timu yoyote anayoishabikia ni mwanaume aliitambulisha kwake. Hasa mpenzi wake anayemkubali sana wanasema a true lover. Ikiwa mwanamke wako mara aseme: "Mimi ni shabiki wa Chelsea, wakati mwingine Man U...
  3. Kang

    Kamati ya Olympic yapitisha Olympic za video games rasmi

    Mashindano ya Olympic ya video game (Esports) ya kwanza yatafanyika Saudi Arabia 2025. Esports zimekuwa serious kwa wenzetu, mashindano ya PUBG yanayoendela sasa yana jumla ya zawadi zaidi ya dollar milioni 3 huku N0tail mchezaji number moja wa game ya Dota 2 akiwa ameshinda jumla ya dollar...
  4. A

    KERO Ongezeko la mabanda ya playstation /video games tishio kwa watoto wetu, mamlaka zilitizame hili kuwanusuru

    Habari, Mabanda ya kuchezesha video games kwa watoto yamezidi. Upi mpango wa Serikali kunusuru hiki kizazi?
  5. Mhaya

    Rockstar kusitisha matoleo mapya ya GTA games, GTA 6 ndio ya mwisho

    Wasanidi wa kampuni ya Rockstar wanapendekeza kwamba Grand Theft Auto 6 (GTA 6) inaweza kuwa toleo la mwisho katika mfululizo wa Grand Theft Auto tutakaotumia maishani mwetu. 🎮 🌟 Wananuia kusasisha mchezo (refresh the game) kila mara kwa misheni mpya, maeneo na miji mipya kwa njia za mtandaoni...
Back
Top Bottom